Recent content by Bajeti ya kunguru

  1. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Vita ya Urusi na Ukraine. Imeshtua watu wengi sana. Hali inatisha

    Mbona upande wa pili hujagusia? Kwa bwana Zalensk. MAGUFULI4LIFE.
  2. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

    😅😅😅 Mungu anakuona. MAGUFULI4LIFE.
  3. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Mpo tofauti kuanzia jasho MAGUFULI4LIFE.
  4. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Labda nikuulize na wewe,kati ya mwanaume anaye gombaniwa mtaani kwako na yule aliyetulia tu yupi anamvuto kwa wanawake wewe na wenzio? MAGUFULI4LIFE.
  5. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Peponi wacha tupasikie tu. MAGUFULI4LIFE.
  6. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Binafsi mambo ya nchi kiuendeshaji yakiharibika nitalia na mzee KIKWETE kwakuwa ndiye mzee pekee tuliyebakia nae mwenyeuzoefu wa kuendesha nchi. Halafu nitamshangaa sana endapo atakaa pembeni kusubiri mambo yaharibike ndio ajitokeze. Naongelea uendeshaji wa nchi. MAGUFULI4LIFE.
  7. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Ni fani gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa, popote duniani?

    Kama shida ni kukwepa kulala njaa tu jitahidi kuwa na ulimi mtamu miksa konfidensi hautokuja kujutia. MAGUFULI4LIFE.
  8. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Hakika napenda wanawake wembamba ?

    Kwa dem mwembamba na wewe utakuwa unapenda makelele na vurugu zisizo na msingi. MAGUFULI4LIFE.
  9. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Money Penny ana bonge la wowowo, ivi mume wake nani huyu mama?

    Nionee huruma tu nilivyokuja mbio nilijua umeweka kapicha. MAGUFULI4LIFE.
  10. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Elon Musk asema Trump amekubali kufunga shirika la misaada ya kigeni la Marekani lenye bajeti ya $40 bilioni

    Mtaalam wa sayansi anakula kwenye sahani moja na Kiongozi mkuu wa serikali!! 1. Ni nini kilichowaunganisha? 2. Ni nini kitakachoendelea kuwaunganisha?. 3. Kwanini hawaamini tena kwenye wingi ama umoja? 👁️ MAGUFULI4LIFE.
  11. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Wanaume hatari kuwa nao kwenye uhusiano

    Kwenye mapenzi kupungua hapo naona haiko sawa. Mwanaume yeyote baada ya kuoa huwa tunajikuta tumekuwa watawala kiasili hivyo sitaweza kumfanyia kama nilivyokuwa namfanyia wakati namfukuzia. Kama ni makosa basi niyakiuumbaji kuhakikisha miji tuliyoianzisha inaishi kwa utulivu na usalama. Hayo...
  12. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Animals that are only found in Amazon Rain Forest

    Hapo kwa CAPYBARA nadhani tutakuwa hatujajitangaza vizuri. MAGUFULI4LIFE.
  13. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Siku ya kuzaliwa Rais inapogeuzwa sikukuu ya kitaifa

    Hata kama mimi ningekuwa mshauri namba moja wa serikali ,hili swala lingefanyika tu. Kwa cheo kweli ni Rais lakini haimuondolei kuwa ni mtoto wa kike kama walivyo wengine. MAGUFULI4LIFE.
  14. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa Ngumu sana kukalia Kwa ghafla Kiti kilichoachwa na Shujaa Magufuli, Rais Samia anastahili PhD kutoka Chuo kikuu Cha Uongozi. Ametuvusha!

    Cha kushangaza zaidi hakuna hata mradi mmoja aliouacha JPM ambao mama hajauendeleza. MAGUFULI4LIFE.
  15. Bajeti ya kunguru

    JamiiForums Tanzania HIvi ndivyo viongozi wa Afrika wanavyonunuliwa na mataifa makubwa ikiwemo Rais Tinubu ambaye ni jasusi la CIA

    Wewe unanitafuta ubaya nishakuona. MAGUFULI4LIFE.
Back
Top Bottom