Recent content by Bajaji87

  1. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

    😂😂😂 hivi lowassa wakati anakuja chadema na kupewa chance ya kugombea nafasi ya Urais alikuwa kijana? 😁😁 embu acheni mtu afanye anachokitaka bhana mkiongea maneno sijui ya uzee mnaonekana mmeumia kuondoka kwake maana alikuja Chadema akiwa mzee hivi hivo angefukuzwa basi kwa uzee wake
  2. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

    Kuna siku iliombwa nyimbo ya KATIKA Clouds FM nikashangaa ikapigwa nyimbo nyingine kabisaa nikapata uhakika Kweli kuna bifu kubwa sana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sijapima, ila kwa hizi dalili nafikiri mwanamke niliyekuwa nimepanga kumuoa kaniambukiza virusi vya UKIMWI

    Nimepima ila ugonjwa hauonekani Mimi nilikuwa najua ni malaria lakini hamna japo nimepima na mengineyo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sijapima, ila kwa hizi dalili nafikiri mwanamke niliyekuwa nimepanga kumuoa kaniambukiza virusi vya UKIMWI

    😂 imenikumba hali kama hii naumwa sana mwili unauma kichwa na miguu ndio usiseme nilianza na kupima ngoma Mara Negative nimepima Malaria hamna nimepima UTI Hamna Presha hamna Sukari ipo normal typhoid hamna sasa ndugu zangu nitumie kitu gani
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nina furaha sana leo nimepima nimekutwa sina ngoma

    wewe vipi sio mzima?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa jumla kuhusu vidonda vya tumbo

    Pm ya nini wewe wizi huo 😂😂😂
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani ya kutambua hela bandia kwa urahisi?

    Nilikuwa sijui ila Leo nimejua itatokea mtu anionige.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

    Sitaacha kusema Ukweli Kuwa Alikiba Umebakia Ushabiki tu yani time yake imepita wee bisha tu ila moyoni inakuchoma 😂😂😂
  9. B

    JamiiForums Tanzania List Konk za Wasanii 10 bora barani africa zilizotazamwa sana youtube na List konk ngoma 10 bora za bongofleva zilizofanya vizuri mwaka 2018.

    Alikiba umebakia ushabiki tu kiwango kimeisha Mondi Fundi 😂😂😂
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa maoni ya waganga hapa Sumbawanga, kuanguka kwa Dïamond ni ishara ya kuzikwa nyota kichawi

    Hearsay Evidence Is Admissible...kwamba inasemekana sio unauhakika na hilo jambo ndio maana kusheria ushaidi wa kusikia jambo kwa Fulani haukubaliki
  11. B

    JamiiForums Tanzania Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

    Kiukweli Kiba kwishney umebakia ushabiki tu na mapenzi kwa mtu Fulani 😂😂😂 ila kiukweli habari ya tz sasa hivi ........MCHEZO HUU HUSIUCHEZEE WEEE Kimtazamo Kabisa niache unafiki KIBA umebaki ushabiki ni sawa na wale watu wanaosemaga ukimuweka Fulani na Jiwe nitachagua jiwe ila ukweli wanao moyoni
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa maoni ya waganga hapa Sumbawanga, kuanguka kwa Dïamond ni ishara ya kuzikwa nyota kichawi

    Katika maisha yangu napendaga neno hili LIVE UR LIFE Kama Mondi Anatumia uchawi kwenye maisha yake ya mziki anajua yeye na Mungu wake na atahukumiwa na Mungu Wake.... No evidence No Right To Talk...... Quid Pro Quo 😂😂
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Diamond Platnumz Mombasa ni kufuru

    Kama ipo ipo tu aaaah sasa hivi ni time yake wacha afanye yake
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli ana mpango wa kutawala nchi hii maisha yake yote yaliyobaki?

    Msemaji wa ikulu 😁😁😁 msubiri ajibu utasubiri milele
Back
Top Bottom