Recent content by baitu

  1. baitu

    JamiiForums Tanzania Usiyofahamu kuhusu Fly Emirates

    Watanzania tunajikana sana dah, hv usipokishabikia cha kwako nan atakuja kukipenda!?tujifunze kupenda vyetu,mwlm nyerere alishatutoa kwenye ukoloni amkeni kifikra tokeni kwenye huo ushamba mambo leo...
  2. baitu

    JamiiForums Tanzania Harufu kali Shekilango ya mabanda ya kuku inakera

    Nyie wahusika hapo liangalieni hilo hapo au mpaka mkumbwe na magonjwa ya mlipuko.
  3. baitu

    JamiiForums Tanzania Mabere Nyaucho Marando katupwa wapi?

    Salama wadau? Huyu mwanasiasa bado anajihusisha na siasa au aliamua kijitoa huku? Sijamsikia muda mrefu. Kwa mwenye taarifa zake atujuze. Nawasilisha
  4. baitu

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki atenguliwa

    Walijisahau sana hawa, ngoja wawajibishwe..
  5. baitu

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la Nata Raha lapata ajali Bunda

    Mwenye bus hili ndo yule mtatiro alikuwaga zuberi bus service! ?
  6. baitu

    JamiiForums Tanzania Kutana na mchungaji mwenye wasaidizi wa kumfuta hadi jasho

    Wanazitumia dini kututapeli, hii inaonyesha Mungu anawambua maana ni kama hajui anachokifanya..
  7. baitu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wenje asiposhinda kesi ya matokeo, najiuzulu ubunge

    Saisa za siasa..haha
  8. baitu

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    Vinatia uchungu...
  9. baitu

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Lissu na Mnyika, Wabunge viherehere kimya kama wananyolewa

    Jamaa anaijua sana sheria..
  10. baitu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    Hana hoja kabisa huyu jamaa...
  11. baitu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    Membe hamna kitu,anajipanga kuwalinda viongoz walopita et hawataguswa...
  12. baitu

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere, urais hautafutwi kirahisi hivyo! Watanzania muwe macho!

    Atakuwa anahitaji urahisi siyo urais....
  13. baitu

    JamiiForums Tanzania Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Muhaya huyu jamaa siyo mtu wa mara...
  14. baitu

    JamiiForums Tanzania Na mimi natangaza nia tarehe 03.06.2015

    Jaman hayati julius nyerere aliwahi kusema ikulu ni mzigo,leo hii watu wanatangaza nia kila kukicha ina maana ule mzigo haupo tena ikulu!?na kautoa nani!?natangaza nia....
  15. baitu

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Nmekuelewa sana mwigulu..
Back
Top Bottom