Recent content by Baitani Jr

  1. B

    Dr. Slaa, chagua maneno...

    Hahahahahh,hivi Ze marcopolo toka lini kada wa CCM akaona uchafu na ujinga wao..ni nyani gani anaweza weza kuona ----- lake?? Nadhani unatafuta hoja za kufifisha harakati za chadema. Dr Slaa ni msomi he reaps his words and neva underestimate his thoughts. Jamani ebu ifike kipindi tu sema mambo...
  2. B

    Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    Hayo wachovu kishenzi,hawana jipya wataishi na damu za watu mkononi. Msangi!! Kuna watu wanaitwa na kujiosha kuwa ni majasusi wa CCM Ahmed Msangi,Jack Zoka nao wapo eti usalama. Tanzania hakuna usalama wa raia bali usalama wa wauaji kama Mwigulu ,Nchimbi,Kinana nk.
  3. B

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Mbna sioni fujo au macho yangu? Stop being....! watu tunakuja JF kusoma hapa zenye kichwa na mikia sio upuuzi.
  4. B

    Zitto Kabwe: Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki

    Nadhani muda mwingine jaribuni kutafakari mambo kwa kina. The problem wit intelligent ppo in JF r full of doubt but stupid onez r full of confidence. Siasa haina static enermy nor friend but politics change dynamically. Kuungana kwa vyama vya upinzani ni kupinga maamuzi ya watu wanaotaka...
  5. B

    ANGALIENI UBAGUZI HUU Ndani ya CHADEMA

    Ndugu Chris wewe ni MUONGO na MCHONGANISHI kama umelipwa na CCM kusema uongo jua kuwa unajidanganya mwenye kama kweli post picha wakiwa ujerumani wanapima sukari. Nitakuamini, maana binafsi najua ziara yake ilikuwa ya nini. Ebu kuua acha utoto,ucwe unadanganya watu.
  6. B

    CHADEMA hawaelewi kabisa jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa, wanaiweka kapu moja na vyama vya siasa

    inaonekana kuna watu wengi wanachambua mada kiulevi co kisomi. nani anaye wapa kazi viongozi wa tiss? acha ujinga kunguka,masuala ya maana u ccm 2naweka pembeni.
  7. B

    MTANZANIA na Highest Level of unethical and irresponsible journalism

    ccm nawaonea huruma maana sasa wamekosa cha kufanya kwa maendeleo ya wananchi kilicho bakia ni kuwa eager to destroy chadema. hey dudes,hapa wanajidanganya. waheshimiwa wa ccm karibia wote wa chafu. hivi kweli 2naenda kukamata wezi sinza magomeni nk wakati wezi wako ikulu,bungeni na wizarani...
  8. B

    Mwanachama wa CHADEMA Monduli aonja joto ya police

    "Nimetembea ardhini na angani ila sijahii ona raisi aliyetutukana kiutendaji kama Jakaya Kikwete."-MBOWE.
  9. B

    Mbunge Nasari Anajuta...

    hahahahaha! kamanda amedodge!
  10. B

    Sakata la Kibanda: Magazeti ya Mtanzania na Tanzania Daima hatarini kufungiwa!

    serikali imeoza,damu ya m2 cku zote huwa haiendi bure. yaani hakuna kiongozi aliye2tukana watanzania kiutendaji kama kikwete. haya ana yaona na anakaa kimya kwa kuwa katiba ndo mwamvuli wake. serikali imeoza,mpka wanakaa chini kupanga mikakati ya kimafia. sasa lwakatare na serikali nani gaidi??
  11. B

    Waziri Sitta awaanika wabunge wa Afrika Mashariki kuhusu posho

    viongozi wa ccm,wapenda starehe hii ndo huitwa mifano hai,alafu mwaka 2015 mje kweli mnabembeleza mnaomba kura. kweli vichwa vyenu vimeoza hamfikirii,viongozi karibia wote wa ccm hawana tofauti na mtoto grade one anayesoma vipindi tisa alafu halewi kitu. ogopa kuitwa mburula. ila hawa ni mamburula.
  12. B

    Mahakama Kuu yaitisha mafaili kesi ya Lwakatare

    Mambo hayo sasa, shule muhimu sio mawakili wa online. Tumeanza na mungu na tutamaliza na mungu.
  13. B

    CHADEMA yatuma ujumbe mzito kwa Rais Kikwete, Bosi wa UWT na IGP kuhusu Mwigulu

    Mwigulu Nchemba kukihusisha chama hicho cha upinzani na njama za mauaji, kuwa tafsiri ya maneno ya kiongozi huyo yanatangaza uasi. Leo sizumgumzi sana ila BORA KUWA NA PENGO KULIKO JINO BOVU,MCHUZI UKIMWAGIKA HARUDI TENA KWENYE CHUNGU,MTOTO AKISEMA NTANUNUA NDEGE 2NASEMA MTOTO...
  14. B

    CCM watakuja na mbinu gani tena za kuidhoofisha CHADEMA?

    hawana chochote ucmuogope mjinga kabla ajakupaka mavi,ila ukipakwa tafuta njia ya kunawaa alafu ucmwazie mjinga we chuma fimbo uone kama kweli chizi hajui kiboko
  15. B

    Sintofahamu ya suala la Lwakatare, je, hili likifanyika Polisi watashikalipi?

    ubishi mwingi wa nini? ngoja 2one wanavyo umbuka,mawakili wale sio wale wa kikwete wanaosomea kwenye mtandao. shule ipo. serikali ina babaika kama kesi ile ya million mia 900 ya mrema.
Back
Top Bottom