Lema hana hatia yoyote. Ndoto sio kosa. Kwani wewe ukiota baba au mama yako amekufa ukamwambia anakuchukia? Kuweni waelewa. Baada serikali ishugulikie waathirika wa matetemeko wanaangaika na ndoto?
Lakini msiwalaumu watangazaji wa clouds waliowengi shule hawana hata ilo joo hawajawai kulishika. Wanaliona kwenye Tv. Clouds wanaamini kwenye vipaji na si elimu. Wengi ni form four. Wakulaumiwa ni boss wao.
Mimi Nina miaka 32 naishi Dsm ni mwajiliwa selikalini natafuta binti kuanzia miaka 25-30. Awe mwajiliwa pia elimu yake kuanzia stashahada na kuendelea pia awe mkristo. Napenda sana mwanamke mweye mawazo ya maendeleo. **** upo anifuate inbox. Seriously.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.