Recent content by Baijukya1967

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Je hayo maji wanayoyachota yanafaa kwa matumizi ya nyumbani?
  2. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA na Operation "Hakuna tume huru hakuna uchaguzi".

    Ni ukweli mtupu. Pesa za chaguzi hizi ni kufuru kwa Mungu!
  3. B

    JamiiForums Tanzania CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Je unahamasisha rushwa? Nafikiri ushindi wa kweli utafikiwa siku Mungu akipenda! Rushwa ni adui wa haki
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Makonda hakupaswa kufanya sherehe na Polisi

    Mhh!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapinzani hawaendi Mahakamani kupinga matokeo ya chaguzi ndogo?

    Mwenye macho haambiwi tazama!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tusilaumiane, tufanye kazi pasipo kukoma, jitihada zetu ndizo zitaleta heshima kwa Tanzania ya kesho

    Monduli imetisha kwa wizi wa Kura. Kituo cha Monduli Sokoni wapiga kura ni 99 tu lakini kwenye matokeo imeonyeshwa ni zaidi ya 400. Mungu atunusuru na uongo huu! Aibu
Back
Top Bottom