Nafikiri ni vema tujue kama hivo viwanda ni vya private au serikali na kama ni wawekezaji nchi itanufaika vipi? Hivo basi ni vema kuwa na malighafi ya kutosha pamoja na usimamizi imara.pia ni vema kuwa na mwendelezo wa sera mfano akija raisi mwingine aendeleze sera za magu na sio kuja na sera...
Hivi kwamba lumumba nzima hawajui kuwa wako kinyume na katiba au kuna kifungu cdm hawajaelewa?ngoja tusubiri reaction ya wabunge wa nchi nyingine maana kama kweli hilo halitakubalika
Niko hapa tanganyika perkers mbalizi mbeya.kiwanda kina meneja ila toka kimejengwa hakijawahi hata kuwashwa mitambo .wajanja wanapiga pesa tu.eneo la kiwanda ekali 5000 lakini hakuna production.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.