Hujuma huzimwa na hujuma inatosha

Hujuma huzimwa na hujuma inatosha

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,277
Reaction score
14,324
Tangu huyu Rais ameingia madarakani kumekuwa na hujuma nyingi sana zina pangwa kumuharibia sura ya Rais kwenye midan za siasa. Ndani na nje ya ya nchi. Hujuma hizi kwatetesi zilizopo zimekuwa drafted na watu ndani ya chama na nje yachama.

Hawa watu nia yao nikuhakikisha mkuu anashindwa nakuwa kituko kwa jumuia zakimataifa na ndani ya taifa.

Wamepanga mengi sana lakini nadhani wanafikiri wanajuwa kuliko tunajuwa kumbe wapo uchi na tunawashangaaa sana.

Sikia hujuma itajibiwa kwa hujuma na kila anapanga mipango miovu kwa tanzania atajuta kufanya kaz ovu na watu waovu. Mnafikiri mnamkomoa Mh Rais ila nataka kuwaambia wala hamumkomoi mnapoteza muda. Mmeshika silaha mkifikiri mnalenga shabaha ila mtakapo binya kitufe silaha hiyo mmeshika itajeuka kuwa bomu litawasambaratisha kuanzia mshikaji silaha mpaka walio mzunguka.
Hujuma huzimwa kwa hujuma
 
Wacha kubwawaja kijana, unajua hujuma wewe?
Mbona hujuma za kuua wapizani au washabiki wao hamjazijibu kwa hujuma?
 
Tangu huyu Rais ameingia madarakani kumekuwa na hujuma nyingi sana zina pangwa kumuharibia sura ya Rais kwenye midan za siasa. Ndani na nje ya ya nchi. Hujuma hizi kwatetesi zilizopo zimekuwa drafted na watu ndani ya chama na nje yachama.

Hawa watu nia yao nikuhakikisha mkuu anashindwa nakuwa kituko kwa jumuia zakimataifa na ndani ya taifa.

Wamepanga mengi sana lakini nadhani wanafikiri wanajuwa kuliko tunajuwa kumbe wapo uchi na tunawashangaaa sana.

Sikia hujuma itajibiwa kwa hujuma na kila anapanga mipango miovu kwa tanzania atajuta kufanya kaz ovu na watu waovu. Mnafikiri mnamkomoa Mh Rais ila nataka kuwaambia wala hamumkomoi mnapoteza muda. Mmeshika silaha mkifikiri mnalenga shabaha ila mtakapo binya kitufe silaha hiyo mmeshika itajeuka kuwa bomu litawasambaratisha kuanzia mshikaji silaha mpaka walio mzunguka.
Hujuma huzimwa kwa hujuma
Kwa hiyo na akili yake inahujumiwa?action speaks louder than words,hapa unatetea ujinga
 
Unatetea ujinga kwa manufaa ya nani? mbona hatusikii akikemea akina Mnyeti, Makonda, Gambo? mbona hatusikii akikemea mauaji yanayofanyika wakati wa chaguzi mpaka mmemuua binti wa watu bila makosa?
 
Tangu huyu Rais ameingia madarakani kumekuwa na hujuma nyingi sana zina pangwa kumuharibia sura ya Rais kwenye midan za siasa. Ndani na nje ya ya nchi. Hujuma hizi kwatetesi zilizopo zimekuwa drafted na watu ndani ya chama na nje yachama.

Hawa watu nia yao nikuhakikisha mkuu anashindwa nakuwa kituko kwa jumuia zakimataifa na ndani ya taifa.

Wamepanga mengi sana lakini nadhani wanafikiri wanajuwa kuliko tunajuwa kumbe wapo uchi na tunawashangaaa sana.

Sikia hujuma itajibiwa kwa hujuma na kila anapanga mipango miovu kwa tanzania atajuta kufanya kaz ovu na watu waovu. Mnafikiri mnamkomoa Mh Rais ila nataka kuwaambia wala hamumkomoi mnapoteza muda. Mmeshika silaha mkifikiri mnalenga shabaha ila mtakapo binya kitufe silaha hiyo mmeshika itajeuka kuwa bomu litawasambaratisha kuanzia mshikaji silaha mpaka walio mzunguka.
Hujuma huzimwa kwa hujuma
Umeongea bonge la point.
 
Na risasi zinajibiwa kwa risasi, watanzania walijue hili, kama mtesi wako anatumia bunduki kukukandamiza huwezi mshinda kwa maneno matamu au vilio, unamjibu kwa bunduki mara saba zaidi. Kisha nyote mnaheshimiana
 
Umeniacha na maswali mengi mkuu!
Kwamba ndani ya CCM kuna watu wenye akili wanapanga kumhujumu Rais kwa kumshauri vibaya ili asieleweke kwa watu wa ndani na nje!

Kwamba hizo zinaonekana ni hujuma na wewe ni mmoja wa watu mnaodhani watu wanaopanga hujuma hizi njia bora za kuzima ni kufanya hujuma pia?

Kwamba inawezekana hata Rais akawa hajui ni kwa nini Mkurugenzi wa Kinondoni alikataa kutoa barua za utambulisho na fomu za viapo kwa mawakala wa upinzani hali iliyopelekea chadema kuandamana kudai haki hiyo itekelezwe na kusababisha umwahaji wa damu isiyo na hatia?
Kwamba sasa hujuma inatakiwa kufanyika ili kulipiza kisasi kutokana na tukio hili?
Je kisasi ni dhidi ya nani ama hujuma ni dhidi ya nani hapa?
Kwamba labda huenda Mkurugenzi ni pandikizi la Lowasa na hivyo amefanya hivyo akijua matokeo yake yatakuwa nini hasa baada ya watu kuandamana?
Au huenda askari aliyepiga risasi aliamrishwa na mkereketwa wa chadema ili aue huku wakijua kwa kufanya kitendo hicho wananchi wataichukia ccm?
Ama kupigwa kwa risasi mtoto wa watu asiye na hatia kulifanywa na watu wasiojulikana baada ya polisi kurusha risasi za moto bila utaratibu?
Hili jambo linaloitwa hujuma huoni kwamba ni aina ya ulipizaji visasi na huenda kila mtu akaamini amehujumiwa,sasa unadhani ligi itaishaje hapo?
Siasa inatupeleka kubaya na imetushinda kabisa watanzania
 
Hii uliyoongea ni kama umechora duara, na bahati mbaya sana upo ndani ya duara hiyo..
 
Na risasi zinajibiwa kwa risasi, watanzania walijue hili, kama mtesi wako anatumia bunduki kukukandamiza huwezi mshinda kwa maneno matamu au vilio, unamjibu kwa bunduki mara saba zaidi. Kisha nyote mnaheshimiana

Watu wana hasira sana, na njaa hii wakipata mtu wa kuorganize tu! ...........................
 
Tangu huyu Rais ameingia madarakani kumekuwa na hujuma nyingi sana zina pangwa kumuharibia sura ya Rais kwenye midan za siasa. Ndani na nje ya ya nchi. Hujuma hizi kwatetesi zilizopo zimekuwa drafted na watu ndani ya chama na nje yachama.

Hawa watu nia yao nikuhakikisha mkuu anashindwa nakuwa kituko kwa jumuia zakimataifa na ndani ya taifa.

Wamepanga mengi sana lakini nadhani wanafikiri wanajuwa kuliko tunajuwa kumbe wapo uchi na tunawashangaaa sana.

Sikia hujuma itajibiwa kwa hujuma na kila anapanga mipango miovu kwa tanzania atajuta kufanya kaz ovu na watu waovu. Mnafikiri mnamkomoa Mh Rais ila nataka kuwaambia wala hamumkomoi mnapoteza muda. Mmeshika silaha mkifikiri mnalenga shabaha ila mtakapo binya kitufe silaha hiyo mmeshika itajeuka kuwa bomu litawasambaratisha kuanzia mshikaji silaha mpaka walio mzunguka.
Hujuma huzimwa kwa hujuma
Visingizio jazz band!
 
Wanatengeneza na vifo ili kumhujumu raisi na hawamu yake lakini Mungu ni mkubwa kuliko wao
 
Sio HAWAMU, ni awamu. Na hata yale maneno ya tetemeko kule kijijini kwenu alisemewa ili ahujumiwe. Unafiki utakuua.
 
Nadhani wewe ndio unaongoza kwa kulipwa posho pale Lumumba ,
Maana kila siku unakuja na post za kijinga
 
Tangu huyu Rais ameingia madarakani kumekuwa na hujuma nyingi sana zina pangwa kumuharibia sura ya Rais kwenye midan za siasa. Ndani na nje ya ya nchi. Hujuma hizi kwatetesi zilizopo zimekuwa drafted na watu ndani ya chama na nje yachama.

Hawa watu nia yao nikuhakikisha mkuu anashindwa nakuwa kituko kwa jumuia zakimataifa na ndani ya taifa.

Wamepanga mengi sana lakini nadhani wanafikiri wanajuwa kuliko tunajuwa kumbe wapo uchi na tunawashangaaa sana.

Sikia hujuma itajibiwa kwa hujuma na kila anapanga mipango miovu kwa tanzania atajuta kufanya kaz ovu na watu waovu. Mnafikiri mnamkomoa Mh Rais ila nataka kuwaambia wala hamumkomoi mnapoteza muda. Mmeshika silaha mkifikiri mnalenga shabaha ila mtakapo binya kitufe silaha hiyo mmeshika itajeuka kuwa bomu litawasambaratisha kuanzia mshikaji silaha mpaka walio mzunguka.
Hujuma huzimwa kwa hujuma
Wewe vipi? Sasa vitisho vya nini tena na mnaanza kulaumiana hata ndani. Haya mambo ndugu yangu unatakiwa kuwa mwangalifu ukiuanza mchezo huu wa kulaumu na kuhisia katika siasa huwa hauna mwisho na matokeo yake ni mabaya sana kwa nchi. Kiongozi anayependwa anatenda bila hisia zake kumtawala. Lakini pale unapoziacha kukutawala zinakupelekea woga wa kufikiria hata 'kivuli' chako hakikupendi!
 
Huyu atakua bashite maana anaeleza kama anakimbia. Jua kuna siku hutopata nafasi ya kuongea hayo madudu .mungu anakuona
 
Back
Top Bottom