Recent content by bahatil mselle

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru, Ruto meet Odinga and Kalonzo!

    Viongozi hawa wanaonyesha mfano mzuri kwa wananchi wa Kenya. Let us wish them ALL THE BEST IN BUILDING A NEW UNITED KENYA.
  2. B

    JamiiForums Tanzania IGP Said Mwema kushitakiwa ICC

    Kuna kundi la vijana wa kiarabu/wahindi wanaofanya wizi huu wa kutumia magari katika barabara za upanga i.e Ali Hassan Mwinyi Road, Regency Hospital etc. Daktari wa Kigiriki na wanafunzi wake walikuja kwa ziara hapa nchini na walikuwa wamefikia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mkapa arusha kombora; Awashutumu viongozi wa dini, Serikali

    Hana jipya huyo. Laana ya ufisadi aliofanya mauaji ya Wapemba katika utawala wake imeanza kumtafuna na ameanza kuchanganyikiwa. Tutasikia mengi zaidi kadiri atakavyozidi kuchanganyikiwa. AKUMBUKE MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Francis Godwin astahili tuzo ya mwaka kuanika mauaji dhidi ya polisi Nyororo

    Kwa hali ambayo nchi yetu imifikishwa na utawala huu mbovu usiojali maisha ya rai wake, ni ni vizuri mwandishi huyu shujaa asaidiwe kupata political asylum katika balozi za nje haraka iwezekanavyo. Mungu amlinde.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Makala ya wiki iliyoichefua ikulu ikatishia kufunga gazeti

    ama kweli jk ni janga la kitaifa na hili halina ubishi - hata baba wa taifa alituasa kuwa hafai kuongoza nchi sasa tunayaona mamatokeo yake........
Back
Top Bottom