Recent content by Baharia Mkali

  1. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Namba za usahili zinapatikana wapi kwenye account??!
  2. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hata kwangu pia sizioni
  3. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Wale wa TRA mkeka upo hewani

    Mbn hiyo registration # hazionekani kwenye account, au ni kwangu mie tu binafsi
  4. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

    Wamefanya mahusiano ni kama sehemu moja wapo ya kujipatia ridhiki ila tu utofauti wa hawa wanao jifafanya so called wapo ki true love na wale wa red light street ni kwamba hawa wananegotiate na wale wana price tag tu
  6. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

    Pesa haiwezi kununua mapenzi hata siku moja, ukitaka kuamini hili muangalie Bill Gates, Harloid Hamm, Bill Gross, Steve Wynn, Jeff Bezos... Wote hao ni top wanao itikisa dunia kwa pesa
  7. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

    Kama ndo hivyo si bora mtu uende kwenye massage centers au night clubs tu, hapo unajua unatumia pesa yako kihalali, kuliko kuingia kwenye mahusiano ya kiunyonyaji
  8. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..

    Kikao cha wanaume kimeisha salama jana.. Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya.. Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae.. Labda kwa shida maalum...
  9. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mbn hakuna sehem ya passport size
  10. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

    Upo sahihi, lkn sababu ya muungano hauoni ni nzito....ni kama ndoa Maana Tanganyika na Zanzibar ni kama mume na mke, je mume hapaswi kumfaham zaidi mke wake? Tafadhali sheikh Said, heb tuelezee kwanini wazanzibari hawakudai uhuru kutoka utawala wa Sultan
  11. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

    Tafadhali heb tufafanulie hilo swali, sie wote ni sehem ya muungano na teyar tushachanganyikana sana, Bara na visiwani
  12. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Wanaochukia mapinduzi matukufu ya Zanzibar 1964 wana ajenda gani nyuma ya pazia?

    Kidogo kidogo tu "sisi ni wazanzibari na hao ni watanganyika, then Sisi wapemba na hao ni waunguja" By Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere
  13. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Vijana bado nawasisitiza acheni kutumika kama vibaraka

    Kwahiyo hilo V8 limekutoa povu, Mbona hauongelei Yale ma V8 yanayo nunuliwa kwa Kodi za wananchi yanayo kabidhiwa kwa wanakijani ambao wana jiona wenye haki na nchi zaidi kuliko watu wote kule Dodoma??! Na sio Kila mtu ana mindset ya greed kama yako chawa wa kijani ya kupata madaraka kuhudhuria...
  14. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Vijana bado nawasisitiza acheni kutumika kama vibaraka

    Hoja yako ni nini hapa ya maana??!! vyakula vya wananchi, mke wa lissu au maisha ya Lissu??? Cha maana hapo ni labda kuhusu wananchi hawajui watakula nini jioni, ambayo yote husababishwa na katiba mbovu iliopo ya CCM, inayopelekea kupanda bei ya vyakula hovyo.
  15. Baharia Mkali

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha kunachangiwa na Katiba Mbovu ya CCM. Vijana tutumie fursa ya mradi huu sasa

    Hoja sio Mheshimiwa Raisi, bali ni katiba mpya itakayo toa mfumo mzuri unao eleweka na kumuelekeza kiongozi yeyote aingiae madarakani muelekeo mmoja wa kufuata mfumo mmoja, na sio kufuata mifumo binafsi tofauti ya yeyote aingiae madarakani kama Miungu watu, hayo yote uliyo yataja hapo juu ni...
Back
Top Bottom