Leo zaidi ya wiki jiji la Arusha hatuna maji sijui mnahisi tutaishije,nasikia ni mpaka mwezi wa kumi,mmetuona sie ni ngamia au? Na bili za maji zinasoma kama kawaida.
Acheni uzamani bwana muwe mnakua, au mpaka tubebe ndoo tuje hapo idarani?
Yaani Waziri wa Tamisemi ndio mkuu wa uchaguzi? Nashauri wanaharakati wapenda haki twendeni Mahakamani tukazuie uchaguzi huu unaokwenda kumwaga damu za watu,kwakuwa tume huru iko Mahakamani sasa ni muda uchaguzi huu wa Serikali mitaa ukazuiwe Mahakaman hadi pale utakapokuwa huru.
Plz wasomi...
Unajitoa ufahamu.tatizo Ni mfumo wa Ccm unalazimisha kuunga mkono kwa %100 hatakama kunakero zitaje badae Unga mkono hoja .ukicheza Nje yahapo utatekwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.