Uharo...Kwa mamlaka ninayojipa mwenyewe namteua Tundu Lisu kuwa msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa ubelgiji
Samahani, kama vile sijakuelewa. Ongezea nyama kidogo.Kwahiyo tamisemi ndo NEC ujinga kweli hivi Tanzania kuna wasomi kweli?
Alafu utashangaa vijana machizi wanakuja humu jf kujaza saver tu hapa na utumbo wao mara ooh Lissu, Nape, Kinana shame on you Tanzanians
Hausimamiwi na NEC. Unasimamiwa na TAMISEMI.ok,kwa hiyo uchaguzi huu hausimamiwi na this so called NEC??,why NEC wasipewe madaraka ya kuajiri watumishi wao kuanzia taifani hadi ngazi ya mtaa na kuwa ndio wasimamizi wa chaguzi hizi?but never mind nimeshiriki uchaguzi mmoja tu na will never again vote,and after all hakuna uchaguzi may be tusubirie beyond 2025(kama nitakuwa hai itakuwa ni bonsai kubwa from MWENYEZI MUNGU)
Watumishi wa umma hawana chama
Kwa mamlaka ninayojipa mwenyewe namteua Tundu Lisu kuwa msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa ubelgiji
Si mlisema wakurugenzi wasisimamie uchaguzi,sasa ombi lenu limetekelezwa mnapiga kelele tena, sasa mnataka iweje kwa mfano !!
Usipo piga kura usilalamike .''Wewe mwenye bucha ukimuachia munyama fisi bucha aichunge akiila yote atakuongezea kicheko cha shibe yake''
Mazingira yepi mazuri mkuu??Hakuna maana ya uchaguzi katika mazingira haya