Recent content by BAHARI J

  1. BAHARI J

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakristo hawana futari ya Kwaresma, mbona hawafuturishi?

    Utaratibu WA wakristo ni tofuati kwasababu wao kufunga hakubadilishi ratiba zao na utaratibu wao WA maisha thus why Huwez kumuona mkristo anajitangaza kafunga kafunga
  2. BAHARI J

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuwasaidia ndugu waliokukataa

    Huyo ndio alie kufanya uwe hivyo Sasa. Ange kupa huduma bora usinge toboa usinge kuwa na hasira za maisha wenda nawe unge kuwa kama watoto wake kwasababu nao wange amin baba yupo
  3. BAHARI J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimeumana, nimemuweza huyu binti

    Mwenzio anapiga wine 🍷 ili akija akupe yote akiwa full vibe we una kimbilia kurejesha muamala 🤣🤣 High lisk pay
  4. BAHARI J

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

    Mimi na tafuta kioo cha sumsung s20+ Na s 10+ Mwenye nacho aje na bei
  5. BAHARI J

    JamiiForums Tanzania USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

    Shida ndio zitamua njia gani tutumie kujinasua. Ni wakati nchi za Africa kuungana Katika uchumi unao chumu ilikuleta tija kwa mataifa ya Africa ikiwemo Tanzania 🇹🇿 yangu
  6. BAHARI J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke yupi sahihi kati ya hawa wawili? USHAURI WAKO NI MUHIMU

    Ata tukishauri tusha jua unataka kumuoa huyu wa pili kisa wa moto kitandan na anamatako makubwa Oa tuu
  7. BAHARI J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

    👍
  8. BAHARI J

    JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Simba nguvu Moya
  9. BAHARI J

    JamiiForums Tanzania Akili gani hii mtu ananunua costa milion 100 kwa ajili ya kupewa laki 1 kwa siku

    Biashara ni kwa wenywe akili tu Biashara Lengo lake kubwa ni kufanya pesa isipotee Lakin iwe inazaa Wewe mwenye Milion 100 Ambae ujawekeza na alie wekeza baada ya iyo miaka miwili yeye atakuwa anakitu ww huna
  10. BAHARI J

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

    Kwa mtazamo wako huko vijijin unakojinasibu ume fika je uwiano wa wenye TV na redio ume wahi kuangalia? Hivyo vibanda umiza vinatosha kufeed demand ya wanakijiji wote?? Huja fika vijijin
  11. BAHARI J

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

    Matombo Morogoro Igingiranyi iringa Mtombaji Morogoro
  12. BAHARI J

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Hakuna Marefu yasiyo na Ncha muwe Mnaelewa, Mwenzio akinyolewa wewe Tia Maji

    CCM ni kweli ime chokwa na watu Lakin hawaon mbadala wake, Hakuna Chama cha upinzan kinacho wapa matarajio watu. Ndio maana wanaona bora kubaki na CCM
  13. BAHARI J

    JamiiForums Tanzania Kauli za Mjomba Wangu

    😃
Back
Top Bottom