Recent content by Bago255

  1. Bago255

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kiislamu wanaturudisha nyuma sana kwenye No reform No election

    Watu kutekwa, kupotezwa sio hoja ya msingi kwenu au ndo "kifo ni kifo"
  2. Bago255

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kiislamu wanaturudisha nyuma sana kwenye No reform No election

    Sasa si walikimbia shule unategemea nini "hatutaki elimy dunia"
  3. Bago255

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa viwanja kutumia mfumo wa Tausi

    Naomba kuuliza wanaJF, Hivi unaweza kununua viwanja kwenye mfumo wa Tausi na kikawa na migogoro?
  4. Bago255

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Utawaomba ukiingia kwenye mtihani
  5. Bago255

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Zamani wahitimu walikua ni wachache, sahizi ni wengi. Ili kuleta fairness katika selection usahili ni muhimu
  6. Bago255

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Usahili wa kuandika kwa kada za afya ndio OATs?
  7. Bago255

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    Tunaweka cheti cha MCT au leseni?
  8. Bago255

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    Happ kwenye verification certificate tunaweka nini?
  9. Bago255

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Hapo kwenye verification certificate tunaweka nini?
  10. Bago255

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Kwenye barua ya kazi Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
  11. Bago255

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Address za kupokelea(receiver's address) ni zipi? Maana kila mkoa imetangaza ajira zake Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
  12. Bago255

    JamiiForums Tanzania Cheti cha CO(clinical officer) kinaweza kufungua DLDM au pharmacy?

    Habari wanaJF, Hivi Cheti cha CO(clinical officer) kinaweza kufungua DLDM au pharmacy?
  13. Bago255

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI safari hii sijui wamezingatia nini

    Big up[emoji1535] kwake
Back
Top Bottom