Unalindwa na nguvu ya MUNGU but Majaribu na shetani yapo karibu yako you have to be humble infront of GOD otherwise ndugu yangu utakumbwa na Majaribu mazito sana
Unaweza ukawa unaongea na kuandika maoni yenye uzito ndani yake lakini ukafanya makosa makubwa kiuandishi, MUNGU hafanyi makosa na sio wote wafurahiao wenzao kutimuliwa kazi,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.