Kiwanda cha sukari ni moja ya complex industry kuanzia production hadi installation...hawa watu walio kwenye maofisi wanawaza rahisi sana habari za viwanda. Wanazani ni ndege ya kuagiza na ikaja baada ya miezi 6
Tanesco Nyamagana mnatuumiza wateja wenu tumelipia kuvuta umeme tangu mwezi wa kumi mwaka jana hadi leo ni chenga tu za hapa na pale....ohh nguzo hamna, nguzo hazijaja huku wengine wanafungiwa tabia mbaya.
Mkuu naona umeandika maneno mengi ila umetumia jazba mno huenda umenyimwa kazi au ndugu yako kaachishwa kazi, Wvt inabidi uchape kazi huenda kwa baadhi ya uliyoyasema ni kweli lakini hapo ukweli ni 5% zingine ni porojo tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.