Uko sahihi ndugu yangu. Tulikosea mwanzoni tulipo rudisha nchi yetu katika mfumo wa vyama vingi, Ingawa viongozi wa chama tawala wa wakati huo walikubali mfumo wa vyama vingi urudi, lakini walitumia nguvu nyingi sana kuupaka kinyesi na kuwaaminisha wananchi kuwa vyama vya upinzani ni chanzo cha...
Umemaliza vizuri ndungu yangu Chikawe Jr (NCHI NI MUHIMU KULIKO MWANASIASA MAARUFU) Lakini asilimia kubwa ya andiko lako linaonesha limejaa povu la unafiki badala ya kujibu hoja za Zito kwa facts.
Nitamuona Zito ni Mwanasiasa wa ajabu kama ametudanganya. Lakini nikichekesho na aibu kubwa kwa...
Ha ha ha ha a a a ! ! ! !, Si uoga ndugu yangu. Watu hawataki kushangazwa tu. Kwa hali ilvyo nchini kwasasa, watu wame kaa standby we goma alafu JPM atangaze nafasi za kuziba pengo lako uone WAZALENDO WATAKAVYO KUUNGA MKONO teh! teh! teh! ! ! !, si-una wakumbuka wale Madaktari wa kizalendo wa...
Mimi nina mtazamo tofauti kidogo kuhusu hili. Sioni sababu ya kulalamika juu ya mshahara kupanda ama kutopanda. kwauelewa wangu haijawahi tokea Mshahara wa mwisho wa mwezi ukamtosha mtu, hata ukipanda kwa kiasi gani.
Nadhani hiki ni kipindi kizuri sana kwa Wafanyakazi wa nchi hii kujifunza...
Hahahaaaa!!!!!!!!! Hapa nimwendo wa kukaa kimya tu. Ujumbe ni mtamu kwa upande mmoja lakini kwa upande wa watawala unaweza itwa mchochezi. Not to that extent. Ha!! ha!! haa!!!!!!!!!!!!!!
Kwanini bingwa wa Tanganyika aiwakilishe Tanzania kwenye Michuani ya vilabu bingwa Afrika??? kwanini isiwe bingwa wa Zanzibar???, Vimetumika vigezo gani????? Kwa mtanzamo wangu bingwa wa Tanganyika ama Zanzibar hastahili kuiwakilisha Tanzania. Kunahitajika bingwa wa Tanzania na si-vinginevyo...
Inasikitisha mjadala umejaa hofu ya nchi kunyimwa misaada wakati Lisu ameongea mengi yanayo hitaji kufuatiliwa ili wananchi tuufahamu ukweli. Suala la kuendesha nchi kwa misaada ni la kulionea aibu na si lakujivunia hata kidogo, hivyo halipaswi kutupotezea muda.
Kuna mambo ambayo yame kwepwa...
Mh! Hii riport ni ya DUNIANI, AFRIKA ama TANZANIA ?? Umenipoteza kabisaaaaa. Ingawa kichwa kinasema KINACHO SABABISHA lakini sijaona ulipo kitaja hicho kinacho sababisha. Labda itaendelea sikunyingine.
Nianze kwa ku declare kuwa sina mahaba na upande wowote wa kisiasa (kati ya watawala CCM na wapinzani wa aina yoyote)
Mleta Mada naona huwatendei haki hao watu, Ingawa umeandika kuwa hayo ni mapungufu yao, lakini nikisoma between the lines naona mawazo yako hayana Uzalendo, wala huoneshi kuwa...
Mbaya yukoje mkuu, hakuna aliye mzuri ama mbaya zaidi ya mwingine. ni mitazamo yetu tu ndo iletayo utofauti. Rekebisha mtazamo na utagundua una papatikiwa a warembo wa kiwango hako.
Sasa nimeamini kuwa wewe jamaa ni KILAZA. Povu limekutoka kwamba wanatoa habari zenye mambo mabaya anayo sema/fanya Dr Magu. Mimi nilidhani wana msingizia. Nimejaribu kusoma maelezo yako hadi mwisho sijaona sehemu unayoelezea kuwa yanayo tolewa na BBC ni uongo. Sasa kwa muktadha huo kwanini BBC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.