Recent content by badsangu

  1. badsangu

    Natafuta/naomba ajira

    Nichek pm Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
  2. badsangu

    Vitabu vya mtaala mpya elimu msingi vilivyotolewa na tasisi ya elimu vimeanza kutumika?

    Habari wanajukwaa, nahitaji msaada wa kujua kama vitabu vya mtaala mpya 2019 vilivyochapishwa na taasisi ya elimu hasa vya shule ya msingi, je vilishatoka? Na kama vilishatoka naweza kuvipata wapi namanisha duka gani hapa Dar vinaweza patikana! Msaada tafadhari
  3. badsangu

    Naomba Kujua namna ya kuangalia deni la HESLB online

    Nimeingia na nimefight Sana lakin wap sijui ni wap nakosea
  4. badsangu

    Naomba Kujua namna ya kuangalia deni la HESLB online

    Habari za kazi waheshimiwa, Samahani kwa yeyote anayefahamu namna ya kuangalia deni la loan board kupitia online tafadhari msaada unahitajika
  5. badsangu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nyuma ndo umeharibu maana njia iliyonyepes katika maambukizi ni kula vyombo nyuma
  6. badsangu

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tena ulichoharibu ni kwenda kumalizia juu hapo umepuyanga kinoma mzee baba
  7. badsangu

    MWALIMU WA CHEKECHEA ANAHITAJIKA HARAKA

    Kama kichwa cha habri kilivyojirleza hapo juu,anahitajika mwalimu Jinsia KE Kwa ajili ya kuwafundisha watoto.taasisi iko mkoa Wa mbeya wilaya ya mbarali Chimala. Kwa mawasiliano zaidi 0756752369 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. badsangu

    Naomba kujzwa makato ya TRA kwa mshahara huu

    Asante sana mweshimiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. badsangu

    Naomba kujzwa makato ya TRA kwa mshahara huu

    Ni kabla ya kukatwa imean hiyo ni basic salary Sent using Jamii Forums mobile app
  10. badsangu

    Naomba kujzwa makato ya TRA kwa mshahara huu

    Habari wapendwa katika bwana,poleni Na majukumu,niende kwenye mada kuu jaman naomba kujua makato ya tra yakoje kwa mwajiriwa mwenye kiwango cha mshahara Wa 570,000/ tafadhar wataalam nisaidien maana naona nakatwa hela nyingi bila kujua Sent using Jamii Forums mobile app
  11. badsangu

    Naomba kujua vigezo vinavyotumika kumpata Tanzania One

    Nashukuru,nimekuelewa japo nilifikir kuna muda pengine wakagongana wawili hadi watano imean wakapata the same max in all subject hapo wataamuaje Sent using Jamii Forums mobile app
  12. badsangu

    Naomba kujua vigezo vinavyotumika kumpata Tanzania One

    Sorry wanajukwaa naomba kufahamu eti ni vigezo gani hutumika kumpata Tanzania One kwa upande wa kitaaluma, iwe Form Four au Six. Msaada tafadhali, nataka nimalize ubishi kuna watu tulikuwa tunapishana kidogo. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. badsangu

    Natafuta mganga wa kienyeji

    Wana jf ni matumaini yangu mu wazima Wa afya.niende kwenye mada husika,Mimi ni kijana Wa makamo Niko njombe wilaya ya makete,wiki tatu zilizo pita wez walivamia nyumbani kwangu Na kuiba pikipiki.ombi langu ni kwamba kama Kuna mtu yeyote anaemfaham Mganga Wa jadi tafadhar nisaidieni nimechoka...
  14. badsangu

    Flat screen nchi 24 inahitajika

    Poa nakucheki Sent using Jamii Forums mobile app
  15. badsangu

    Flat screen nchi 24 inahitajika

    Weka namba ha cm basi tuyajenge vizur Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom