Recent content by BADO HUJANIELEWA

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Magufuli mfutie kesi kijana huyu

    Liwe fundisho kwa wote wenye mazoea
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    Njoo na mapendekezo kama kweli uchumi umeyumba. Unafikiri kila mtu akipost unavyofanya wewe tutakuza uchumi? Umesema mlifukuza wafanyakaz (sio rais aliyewafukuza) mmewatafutia mbadala gani?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Mbatia hajawa na uzoefu wa kiuongozi - kauli ya FT Sumaye ilikuwa sahihi. anahitaji orientation course.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Clouds 360: Taarifa za mitandaoni Yericko Nyerere na William Melecela

    Kwa muonekano na presentation ya yeriko nyerere imedhihiridha team UKAWA walivyo. kuitwa Loafers iliwastahili kabisa. Le Mutuz you deserve appreciations
  5. B

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Mambo mengine si ya kufumbia macho. lengo la kuileta hii video huku bila shaka ni kutuonesha aina ya viongoz tunawatukuza kuwa bora, na kwa nn EL aongee maneno hayo ilhali akijua sio waruthelani wote wanaomkubali? alipaswa ayaongee hayo akiwa ndotoni "shame upon him"
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Kutumiwa na CCM, Ibrahim Lipumba aanza kujisafisha...

    katka kuenzi demokrasia na uhuru wa mtu kufanya maamuzi binafsi nawaunga mkono Prof. Lipumba na Dk. Slaa na uhuru wa kuzungumza ni haki yao ya kikatiba. kinacho waudhi kitu gn? mkiona wanayoongea hamyapendi jueni hayawalengi nyie wahusika wapo ndio maana wanaelewa na kukaa kimya
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    Acheni kulitumia jina la mungu isivyopaswa kwa maana yeye hasemewi bali husema na kutenda, hachaguliwi ila huchagua na kuonyesha uchaguzi wake. Eti nanyi ni lini na wapi mmeongea na mungu akawambia uchaguzi wake kwa rais ajaye Tanzania? Kusema uongo kwetu tunafundishwa kuwa ni dhambi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    ndio siasa za tzania zilivyo kikubwa ni pale watakaposhindwa kupata kiti cha urais then mahakama maalumu ya mafisadi na majizi kama ccm watapita ianze kufanya kazi yake wananchi tutajua akili ya Kafulila ni ya kukodi/kutumiwa ama la
  9. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa una tatizo

    Lowassa aliingia UKAWA ili kujipunguzia stress likini nafsi yake akiwa jukwaani inamsuta kwa namna anavyohujumu Upinzani. na kama washauri wake ndio akina Gwajima basi ukawa itakufa baada ya uchaguzi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowasa hapaswi kuongea sana!

    hawezi kumudu jukwaa and that's the facts na sio kwamba anachunga ulimi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Tangu lini lofa akapata uwezo wa kumiliki kompyuta au simu yenye uwezo wa ku-google? Back our Dk. Slaa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Raha ya Lowasa ni kuona Umati mkubwa ukihudhuria mkutano hana hoja za kushawishi. hats hao madada poa aliokuwa akiwahutubia hajagusa kabisa kiu yao ndio maana walitumia muda mrefu kupiga kelele kama watoto wa shule maana hawakuiona ajenda iliyowagusa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mkutano wa Lowassa na Wanawake Millenium; kuweka Kumbukumbu Sahihi

    Ukawa inabidi wakae wajitafakari upya. mkutano umenadiwa kuwa ni wa Lowasa afu wewe #Ocampo four unageuzwa ukweli baada ya kuona comedian wenu kafanya matango pori. anatia aibu kweli
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ukawa wekeni hili wazi

    unachoongea ni sahihi kabisa ila ukiwaambia hivyo vijana wa ukawa wanakushushia mitusi. ukawa ina vijana wasomi lakini wenye hoja za kitoto ( kwa mitusi yao hawatakuja kupewa uongozi wa nchi na wataendekea kuitwa Complete loafers)
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukawa wekeni hili wazi

    unachoongea ni sahihi kabisa ila ukiwaambia hivyo vijana wa ukawa wanakushushia mitusi. ukawa ina vijana wasomi lakini wenye hoja za kitoto ( kwa mitusi yao hatatapewa uongozi na wataendekea kuitwa Complete loafers)
Back
Top Bottom