Recent content by badili

  1. B

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    hiv kama wewe ungejibuje! Nacho amini kila jibu alilotoa nisahihi kulingana na kile anacho kusudia kukifanya sema tunatofautiana mitazamo.
  2. B

    Mkuu wa shule Mwemage Sekondari Bukoba vijijini hafai

    wakuu wa shule wa shenz nwengi, ulizien walimu wa Bukara sec wanavyo ishi kama vile wako jehanam, utawahurumia.
  3. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nataka nrudi nyumban kibondo kulea familia kasulu mbali
  4. B

    Afisa Elimu Sekondari-Bukoba vijijini ni shida

    hee! Mr. Tupe dondoo za majibu japo machache make anajifanya ni mungu mtu kwelikweli.
  5. B

    Afisa Elimu Sekondari-Bukoba vijijini ni shida

    mie namkubali Omar hanashida, lakin mzungu! Anachokiona chema nkuhalibia watu maisha. Sion anachosaidia zaid ya kugombana na walimu kila leo.
  6. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo bukoba vijijini nje kibondo 0752804688
Back
Top Bottom