Afisa Elimu Sekondari-Bukoba vijijini ni shida

Afisa Elimu Sekondari-Bukoba vijijini ni shida

Siku ukikutana naye tena muulize maswali yafatayo
1. Ile masters yake aliyokuwa anasoma pale udsm ameishiwa wapi?
2.kabla ya kuja hapo Bukoba vijijini alikuwa wapi na kwanini alihamishwa?
3.Ule mguu wake amepona na ulisababishwa na nini?
5.mwisho muulize anamfahamu chuma cha pua?
Akikujibu hatakusumbua tena

hee! Mr. Tupe dondoo za majibu japo machache make anajifanya ni mungu mtu kwelikweli.
 
Tumbua majipuuuuu.......Tayari afisa elimu huyu na wenzake saba wamesimamishwa kazi kwa kubainika kutafuna zaidi ya 800m za halmshauri....
 
Back
Top Bottom