Recent content by Badee-u-zaaman

  1. B

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Mwalimu Masalu, Omukyaya Primary Muleba Kagera. Akikupiga Kofi nyita zinqshuka unazitizama haswaa
  2. B

    Ndoa huwaje nusu ya dini?

    Ukisikia ndoa nusu ya dini tafsiri yake ndo hiyo. Jaribu lililorahisi, au jipange kukabiriana na kubwa. Yote yawezekana.
  3. B

    Visomo (Dua) Sita Zizofanywa na TANU Mwalimu Nyerere Akishiriki Wakati wa Kupigania Uhuru 1954 - 1961

    Yaa anafanya hivyo kwasababu wewe pia huwezi kuzungumzia fact zingine zilizo kwenye chapisho baada ya kukutana na neno 𝙐𝙞𝙨𝙡𝙖𝙖𝙢, unalidiscuss hilohilo tu, kwo hasipoliweka utadiscuss nini wakati mengibe huyaoni??
  4. B

    Mtwa Abdallah Mkwawa

    Wewe ni Taa kwayo tunapata Mwanga, na Nguvu hauna ila Mwenyeezi Mungu anakuwezesha. Historia yko kila nikiipitia nianza kuifuatilia naikuta iko vilevle unavyoieleza. May God keep U survive mzee Mohqmmed Said. We love you
  5. B

    Jina la Magufuli limetajwa sana mwaka 2022

    Mbona maelezo mengibafu no evidence of the Title
  6. B

    Ni bora nitawaliwe na Vlad Tepes kuliko kurudi utawala wa Magufuli

    Mengi mtayaficha lakini nyinyi mnajua kiwa utawala bora unaanzia kwenye uhuru wa wananchi wenyewe. Mwamba yawezekana alikuwa bora sana kuliko hata Jk wa kwanza pengine! Ila shida ni kuwa JK 1 na JPM kwa vimatukio vidogovidogo, ilikuwa kama vinyesi viduchu vilivyochanganywa kwenye Bilhan au...
  7. B

    Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

    Leta hoja za kusupport usemayo
  8. B

    Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

    Chuo cha Al qurayn ni chuo kikuu cha kwanza Afrika na kilijengwa miaka mingi kbla ya Oxford huko Timbuktu. Kilijengwa na mdada wa kiarabu Bi Fatma Al qurayn. Papa wa kwanza alisoma Hpo. Ukizungumza kuhusu elimu duniani, unazungumza wataalamu wa Kiislaamu, hivi hujuhi kuwa hata Algebra ni...
  9. B

    Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

    Hqijibu nilichouliza ila ninaendana zaidibna hoja nyingi nilizopata kwa wanahistoria.
  10. B

    Kwa Sykes Wanarejewa na Kurejewa Katika Historia ya Uhuru wa Tanganyika?

    Hatupambanii Dini, tunqpambania Uhalisia na ukweli. Ukijikuta unatetea kuabudiwa jiwe na mti na mizimu wakati mizimu ni ya watu walioshindwa kujirudishia uhai walipotaka kufa, vipi wakusaidie wewe. Huo ndo uafrika na ndo imani za waafrika ATR, naanzaje kutetea vitu visivyo na ukweli?
  11. B

    Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

    Hii ndiyo hoja yenye mashiko mpak sasa kk
  12. B

    Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

    Kabla. Ya waarabu kuja Afrika, hatukuwa na umaarufu wowote, hata Jina la Afrika ni la kiarabu إفرق . Mji mashuhuri Dares salaam ni Jina la kiarabu aliloubatiza muarabu دار السلام, wazungu walitukira tushaendelwa kitambo kwa msaada wa waarabu, iliwabidi wawazishie waarabu ili kubadili mind zetu...
  13. B

    Watawala makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

    Hivi ushahidi wa hili ni upi? Zile muvi za kutengenezwa ama?? Kasome kitabu cha Boräm B. Amicheviç kiitwacho. 𝘽𝙧𝙞𝙩𝙞𝙨𝙝 𝙏𝙝𝙤𝙪𝙜𝙝𝙩 𝙤𝙛 𝘼𝙢𝙞𝙣 𝘿𝙞𝙘𝙩𝙖𝙩𝙤𝙧𝙨𝙝𝙞𝙥,
  14. B

    Watawala makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

    Kaka... Yaani propaganda zina nafasi kubwa siku hizi kuliko maarifa. Ila kinachochanganya, wanamtaja Amin kama dictator, ila hao hao wanamtaja Gaddaf kama shujaa wa Afrika, afu hao hao wanasema amin allikimbilia kwa Gadafi after vita. Sasa Shujaa kumpokea Dictator, mmhhh.... Inanifikirisha sana
  15. B

    Kilwa: Kutoka mji bora hadi magofu yasiyo na faida

    Safi sana Ndugu, kama kuna Point naipata hapa. Ila nmeongea na mzee mmoja nisingependa kumtaja jina, ila ni mkazi na mzawa wa Mtwara, Masasi Jida Tandale, yeye anasema: "𝙉𝙞 𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙧𝙚𝙡𝙞 𝙞𝙡𝙞𝙗𝙤𝙢𝙤𝙡𝙚𝙬𝙖, 𝙡𝙖𝙠𝙞𝙣𝙞 𝙢𝙗𝙤𝙢𝙤𝙖𝙟𝙞 𝙝𝙖𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙢𝙬𝙖𝙣𝙖𝙣𝙘𝙝𝙞 𝙮𝙚𝙮𝙤𝙩𝙚, 𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙣𝙘𝙝𝙞 𝙮𝙖𝙤 𝙬𝙖𝙡𝙞𝙗𝙤𝙢𝙤𝙖, 𝙗𝙖𝙖𝙙𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙧𝙖𝙙𝙞 𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙧𝙖𝙣𝙜𝙖...
Back
Top Bottom