Recent content by Badakao

  1. Badakao

    JamiiForums Tanzania Nianzie wapi? nataka kuoa na kipato changu ni around 300k kwa mwezi

    Yani humu JF Kutishana kwingi sana. Mtu kataka kuoa kaomba ushauri lakini ushauri unaotoka umekaa kiuogauoga sana. Miaka 28 ni mingi mi nashauri aoe tu mambo mengine yatajijua mbele ya safar ya ndoa..
  2. Badakao

    JamiiForums Tanzania Kama una kumbukumbu za utotoni kabisa yani kipindi unanyonya n.k njoo hapa utuambie unakumbuka kitu gani?

    Unagizwa sehemu mzazi anakwambia nimetema mate chini ole wako urudi yamekauka
  3. Badakao

    JamiiForums Tanzania Housegirl alipwe Mshahara wa elfu 80 hadi laki 3

    Wewe kama hali ya chini usiajiri housegirl
  4. Badakao

    JamiiForums Tanzania Binadamu wanapitia mengi usiwe sababu ya kuwakwaza watu

    Unakuwa unatembea njiani unaongea mwenyewe yaan maisha yakiamua kukichanganya
  5. Badakao

    JamiiForums Tanzania Mimi sivutiwi na chochote

    Umesema kuwa huna hisia ko ndo tatizo lako.
  6. Badakao

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 23 nimechoka kuwa single nataka kuoa

    Anyway lakini tusimpe maneno ya uoga sana. Kumbuka mpaka alete mada jua yuko kwenye mawazo meng juu ya maisha yake na suala la kuoa
  7. Badakao

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 23 nimechoka kuwa single nataka kuoa

    Nimeona watoa comment wengi kama mnatoa ushauri wa kumuogopesha lakini kuoa ni uamzi wa mtu. Ko yeye kama anaona anaweza kulea familia na kazi yake inampa kipato kizuri aoe tu. Azae mapema na alee watoto akiwa na nguvu.
  8. Badakao

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 23 nimechoka kuwa single nataka kuoa

    Hata kutoa ushauri mbaya ni uchawi😄
  9. Badakao

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 23 nimechoka kuwa single nataka kuoa

    Anaweza tu akaoa japo wewe unaona sababu zake hazin faida kwako
  10. Badakao

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na kizaa zaa

    Ajichangnye
  11. Badakao

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya nyuki usiyoyajua

    Asali ni tamu lakin ukila kupita kiasi inakuwa chungu. Pia asali inatibu wale waliopata majeraha ya kuungua na moto au maji ya moto. Chukua ngozi ya ng'ombe kipande kidogo kiunguze kwa moto au mkaa upate mkaa au upate unga wake kisha chukua huo unga wa wa ngozi ya ng'ombe changanya na asali...
  12. Badakao

    JamiiForums Tanzania KUWA NA PISI NYINGI INAKUWA HIVI

    sisi wengine huwa tunavumilia mpaka utakapopata jibu la yes or no. Kwa hiyo ukiona unashindwa kuwa mvumilivu ujue hauna upendo wa kweli/ wewe ni mzinzi sana kiufup malaya
  13. Badakao

    JamiiForums Tanzania Tupambane na tusikate tamaa lakini tusichoshwe na usahihi

    Kwa nini kuchoshwa na usahihi? Mara nyingi kuna watu ambao huwa na msimamo wa mambo wanayoyaamini. Mfano: Kuna binti mmoja alikuwa anasoma katika shule ya upili(secondary) na lengo lake lilikuwa ni kupata elimu bora ili awe na maisha bora na akawa akiamini kwamba endapo atasoma kwa bidii...
  14. Badakao

    JamiiForums Tanzania Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

    Sasa hapo google map istumike mashulen wakati hzo google map tunazo kwa simu zetu. Watamdanganya nan
  15. Badakao

    JamiiForums Tanzania Watanzainia tuilinde lugha yetu ya Kiswahili, Wakenya wanaiharibu sana!

    Sema rafudhi ya kikenya iko bomba sana imekaa kikomedy.
Back
Top Bottom