Recent content by Bad boy99

  1. B

    Watoto Mtwara Vijijini waokota bomu na kulichezea, Wanajeshi waja na kulichukua

    inasemekana 45/% ya ardhi ya Tanzania imechimbiwa mabomu ya ardhini tangu vita kuu ya pili ya dunia,kwa hiyo hii ni changamoto kwa serikali yetu kuchunguza ukweli huu ili watz tukae salama.
  2. B

    Kilimo Kwanza Initiative

    lot of lamentation but actually we should ask ourselves what is our attributes towards kilimo kwanza!
  3. B

    Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

    au ndo serikali inataka wahame kiaina!
  4. B

    Machemli Aibwaga Serikali Kortini

    CDM forever,viva Mh.Machemli!
  5. B

    Angalia jinsi dawa za kuongeza ukubwa wa Makalio zilivyomfanya dada yetu huyu

    jamani chanzo cha hawa wadada wanafanya haya yote sababu ni sisi wanaume tunawa admire mno wanawake wenye ------ makubwa,tubadilike!
  6. B

    Mabasi ya Dar - Mwanza ni hatari!

    Mimi ni mkazi wa mikoa ya kusini lakini ktk pita pita zangu nikapata safari ya kwenda Mwanza,nakumbuka tumetoka Ubungo dereva akiwa na mwendo wa kistaarabu sana. Lakini tulipo anza kuicha Dar nikagundua kumbe jamaa alikuwa anahofia traffic tu mara akaanza kuweka gia za ajabu mwendo wa kasi...
  7. B

    Joka kubwa aina ya chatu lazua taharuki jijini Arusha

    asikilize wimbo wa Bahati Bukuku_maamuzi. Mtoto Joka aka Tundo! Watu nyie hatari xana mnamiliki vitu vya ajabu sijawahi ona! A TOWN juuu!
  8. B

    PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    kombaaa,enhh utaka ujana siyo?Sasa we mbabu unakula hadi vijukuu!Eeeh kweli umetisha yaaani you're the increadible creature!
Back
Top Bottom