Nimesoma comment nyingi sana ila nimeona wengi mnazungumzia sheria za penal code...je sheria za ulinzi wa Taifa mnazijua?uandishi wa aina hiyo kwanza si za kizalendo kwani ni kujidhalilisha wenyewe.pia huyo mwandishi na mhariri wangewasiliana na jeshi kuhakikisha kama kifaru kweli kimeibwa?huyo...
Ulitaka jeshi likalinde pori wakati raslimali na miundo mbinu huanzia mjini? Strategically lazima vikosi viwe mjini,mipakani, katikati ya nchi na pande zote za nchi..kama huwataki mjini wewe ndio uhame mji acha wanaume wazalendo waliojitolea kutulinda wafanye kazi
Ulitegemea uwezo wa wabunge wa ukawa wawe na uwezo gani? Kama kweli alikuwepo na akakaa kimya hadi leo basi kuna tatizo hapo..wabunge wa ukawa most of them uwezo wao ni questionable so i dont wonder jamaa kukaa kimya ila ni wazuri sana wa kutoka nje ya bunge..sometimes naona kama ni waoga flani...
Rais hakuja kichama..na msiwe mnachangia vitu ambavyo si fani zenu..tunawaona mbumbumbu..rais ni amiri jeshi mkuu na alikuwa anaenda kukagua vifaa vya kijeshi na kufunga zoezi la kijeshi,kwenye eneo la vita tena porini mlitaka aende na suti?kule watu walikuwa kivita zaidi na si kisiasa..amiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.