Recent content by babzube15

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi assistant hse officers (2) urgently

    Nahitaji watu wawili wenye Diploma ya Environmental au Health and Safety au kozi inayahusiana na hizo na Experience kidogo ya kusimamia miradi. Akiwa na certificate ya SHE reps ya OSHA ni bora zaidi Mradi upo Njombe Nitumie CV yako kupitia zuberi@live.com Mwisho tarehe 09/04/2017 Mshahara...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye Usaili, Shirika la Viwango Tanzania

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia waombaji kazi waliofanya usaili tarehe 28 na 29 Septemba 2015 kuwa wafuatao wamechaguliwa. Hivyo wanaombwa kufika TBS, Ubungo DSM tarehe 30.10.2015 kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa ajira. 1. Standards Officer II (Pharmacy) Mr...
  3. B

    JamiiForums Tanzania OSHA -Electrical Inspector II

    Noma sana....serikali mpya inaweza kumbadilisha huyo mtu..
  4. B

    JamiiForums Tanzania OSHA -Electrical Inspector II

    Ahsante kiongozi
  5. B

    JamiiForums Tanzania OSHA -Electrical Inspector II

    Hawa jamaa wanalipwa Tsh. Ngapi ?kuna chalii anaulizia amechaguliwa post hiyo
  6. B

    JamiiForums Tanzania TBS Kwa nn shortlist ? Ninawasiwasi

    Unasubiri kuitwa kwa vigezo vip kijana ? Au unamtu TBS ? Maana hata kama oral interview waliowaita hawapo kwenye ratio sahihi ya 1:3
  7. B

    JamiiForums Tanzania TBS Kwa nn shortlist ? Ninawasiwasi

    Mfano metrologist physics watu 7 kwa 16 huu ni usanii kabisa at least watu waitwe 21 kwa ratio ya 1:3....na waliosoma Bsc in physics wapo wengi waliomaliza udom lakini wamekatwa bila hata kupimwa uwezo wao..ndio maana nauliza vigezo gani wametumia hawa TBS ?
  8. B

    JamiiForums Tanzania TBS Kwa nn shortlist ? Ninawasiwasi

    At least unapoint ya kunote
  9. B

    JamiiForums Tanzania TBS Kwa nn shortlist ? Ninawasiwasi

    Haujaelewa maelezo
  10. B

    JamiiForums Tanzania TBS Kwa nn shortlist ? Ninawasiwasi

    Siamini hawa watu walioitwa TBS ndio walioapply...shortlist wametumia vigezo gani kupata ? Maana kama gpa hawajasema..naombeni msaada wa kufafanua haya Mambo..ili wakitukata post nyengine zilizobaki nisishangae..hr nisaidieni..mbona mara ya kwanza hawajafanya hivyo ?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya kufundisha Physics & Mathematics

    Kuna shule inaitwa st.anne marie huwa wanauhaba wa walimu wa physics nenda kawaulizie....ipo mbezi kwa msuguli
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kufundisha Nyumbani (mathematics, physics and chemistry )

    Sio promo kiongozi ni uwezo tu....bacheleor of engineering in electrical /electronics ....kufundisha najua na napenda .....nataka kuwa lecture siku moja mungu akipenda
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kufundisha Nyumbani (mathematics, physics and chemistry )

    Habari ndugu. Kwa yeyote ambaye anahitaji mwalimu wa kufundisha (home tuition) basi anione. Ninafundisha masomo ya Hisabati (Basic mathematics & advance mathematic) na fizikia (Physics) na kemia (chemistry) Ninatumia mbinu za kisasa kumfanya mwanafunzi aelewe vizuri juu ya kile...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman wapi niende?

    Ufahamu wangu kuwa jambo la kubadilisha kazi au kuacha linawezekana unatakiwa kufuata utaratibu maana kwenye barua ya kuajiriwa wanasema unaweza acha kazi lakini unatakiwa utoe taarifa na ufanye kazi miezi mitatu then ulipe mshahara wa mwezi mmoja....kuna watu wamebadilisha kazi serikalini...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kama kijana hujaaajiriwa pita hapa

    0652 611 558 Naunga hoja mkuu
Back
Top Bottom