- Nahitaji watu wawili wenye Diploma ya Environmental au Health and Safety au kozi inayahusiana na hizo na Experience kidogo ya kusimamia miradi. Akiwa na certificate ya SHE reps ya OSHA ni bora zaidi
- Mradi upo Njombe
- Nitumie CV yako kupitia zuberi@live.com
- Mwisho tarehe 09/04/2017
- Mshahara kuanzia TSH 400,000 + marupurupu.
- Mjulishe ya Mwenzako