Recent content by Babykid

  1. Babykid

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwenye Quran kuna kifungu kinaruhusu kuua wasio Waislamu?

    Hakuna kitu kama hicho uislamu unahusia kuishi na jamii zingine bila bugudha ndo maana kwenye Quraan Mungu anasema wala msilazimishane katika dini...
  2. Babykid

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwenye Quran kuna kifungu kinaruhusu kuua wasio Waislamu?

    Hakuna kitu kama hicho
  3. Babykid

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kitiba, mwanangu anatatizo la mgolo (bawasiri)

    Hapo Doctor hana cha kukusaidia zaidi alivyokushauri zingatia listed ya mtoto hasa matunda na vyakula vya majimaji coz angesema afanyiwe mchakato wa uparation dogo kama mwanaume anaweza kuwa msenge baadae
  4. Babykid

    JamiiForums Tanzania Hii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma. Mliosoma Geography, hii inamaana gani?

    Ukisikia Pepo mboli zavuka mto ndo hizo sasa
  5. Babykid

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Iwapo tunda la nyanya linaonesha dalili kama hizi, linaweza kuwa na sumu kwa kung'atwa na nyoka

    Huo ni ugonjwa tu wa nyanya unapaswa kuondoa eneo husuja nza kuendelea na matumizi
  6. Babykid

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana nilipokutana na hii kitu kwenye website ya Muhimbili National Hospital

    Taifa lako litajengwa na wewe mkuu chukulia huo mfuko ukitanuka kutakuwa na shida think positive
  7. Babykid

    JamiiForums Tanzania Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa ?

    Mm mmoja wao
  8. Babykid

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

    Wajerumani wanataka wawaondoe waislam hivyo wametengeneza propaganda
  9. Babykid

    JamiiForums Tanzania Tunaambiwa sasa kuna SAMIA KALAMU AWARDS, Hivi Jina la Rais litatumika kwenye Mambo Mangapi?

    Kila raisi ana legacy yake nchi hii
  10. Babykid

    JamiiForums Tanzania Waislamu wa Sunni nchini Iran wanabaguliwa na kunyimwa fursa huku wakihesabika kama raia daraja la pili

    Basi wasingeenda Palestina kuwatetea masunni acha propaganda
  11. Babykid

    JamiiForums Tanzania Volkswagen yafikiria kufunga viwanda vyake nchini Ujerumani, moja ya sababu ni ushindani kutoka China

    Ndio maana saivi US anamnyanyua India
  12. Babykid

    JamiiForums Tanzania Israel iruhusiwe kufungua vyuo Afrika Mashariki kufundisha lugha ya Kiebrania, mila, desturi na fani ya intelijensia

    Ingekuwa ivyo ila taifa letu haliwezi kuungana nabtaifa la kigaidi tangu Enzi za Baba waTaifa Julius Nyerere
Back
Top Bottom