Recent content by Babygood

  1. B

    Ukitoa bikira lazima damu itoke!?

    Iam a married Lady, a few days past, sikuwahi kutembea na Mwanaume yoyote tangu utoto wangu. Siku ya kwanza baada ya ndoa tulijaribu ku do lakini nilikuwa na maumivu sana mume wangu akaniacha, tuliendelea taratibu baada ya wiki Dudu ikawa inaingia though kuna kuwa na maumivu kidogo mwanzoni...
  2. B

    Kwanini nikiwa na mpenzi wangu?

    Nina mchumba ambaye tunategemea kuoana ivi karibuni ila hatujawah kuwa na mahusiano ya Kimapenzi..Nikiwa kwenye menstruation perion, naumwa sana tumbo siku ya kwanza, lakini ikitokea siku iyo nimekutana na mpenzi wangu nikawa karibu naye, maumivu yanaisha kabisa, na akondoka tu ninaanza tena...
  3. B

    Ninaomba uzoefu kwa hili!

    Mimi ni binti wa miaka 27, sijawahi kutembea na mwanaume, i have now got a man, ambaye naona we can make a family na tunategemea kufunga harusi mwakani, ila nimegundua kwamba hata huyu mwanaume hana uzoefu na inaezekana ajatembea na mwanamke bado! lakini wote tunasubiri mpaka tufunge ndoa.. Will...
  4. B

    NI KWELI UWEZI MSAHAU n KUNA WANAUME HAWAWEZI?

    Hivi ni kweli kwamba Msichana hawezi kumsahau mwanaume wake aliesex nae kwa mara ya kwanza hata akiwa kwenye marriage! na ni kweli kwamba kuna Wanaume hawawezi kumtoa mwanamke Bikira?
  5. B

    Hivi unapoota ndoto inatokea?

    yea nampenda, lakini sijachat nae mda, hakukuwa na sababu ya kubrake isu ni yeye alisema tuache kwanza, tangu hapo ishakata miezi!, comunication ikawa loose! nikawa namcall call badae na mi nikaanza kuwa kimya!
  6. B

    Hivi unapoota ndoto inatokea?

    ​Kuna men tulikuwa tunadate ikatokea misunderstanding, yeye ni mwanachuo bado na mimi ni graduate ofcourse sija Do nae as i said in previous topic i posted na tulibrake baada ya yeye kuonyesha ajajipanga time will tell!! problem ni kwamba nimejitahidi nimsahau kwa kuwa na watu...
  7. B

    Nashindwa kuamua jamanii!

    kiukweli sija do nae wala nini? na hatujamaliza mwaka from when we started relatioship, kwa kuongezea huyo men bado mwanafunzi wa chuo na mi ni mfanyakazi tayari yaani nimegraduate!
  8. B

    Nashindwa kuamua jamanii!

    Kuna men tulikua tunapendena sana, ghafla akaniambia mi naona tuache kwanza kwa sasa maana mimi bado sijajiweka vizuri kimaisha kama imepangwa time will tellna aliniambia tu kwenye simu, nikajaribu kumwambia tuonane face to face tuongee haikuwezekana! nashindwa kuelewa atakua amepata mtu...
  9. B

    Eti anaipenda harufu yangu.....

    Ndio inawezekana akawa anaipenda harufu but si kwamba ni full jasho, unajua kila mtu anaharufu yake! ila ma spray ni muhimu!
  10. B

    Wiki nzima bila kutongozwa

    :A S-fire1: sioni kama kuna ulazima wa kutongozwa by the way wengi ni waongo na wenye tamaa, kila msichana akipita anataka amsemeshe! kwani wakikutongoza unakubali wangapi na kukataa wa ngapi?:A S kiss:
  11. B

    For serious & single ladies: Nipo kwenye harakati za kutafuta mke mwema

    :-* kwani katika kusoma kwako kote mpaka chuo kikuu , na kazi zako ulizofanya ni kweli hujaona mwenye ivo vigezo? :-*
Back
Top Bottom