NI KWELI UWEZI MSAHAU n KUNA WANAUME HAWAWEZI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NI KWELI UWEZI MSAHAU n KUNA WANAUME HAWAWEZI?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Babygood, Jul 27, 2011.

 1. B

  Babygood Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kweli kwamba Msichana hawezi kumsahau mwanaume wake aliesex nae kwa mara ya kwanza hata akiwa kwenye marriage! na ni kweli kwamba kuna Wanaume hawawezi kumtoa mwanamke Bikira?
   
 2. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Swali la kwanza, ni kweli mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemtoa bikira endapo tuu huyo mwanamke alikuwa akimpenda sana huyo jamaa. Sio hiyo tuu ubikira, hata kama jamaa alikuta pameshafunguliwa, kama mwanamke alikuwa anampenda sana jamaa (ujue wanawake wengi wanapoingia kwenye mahusiano, anapoamua kumpenda mwanamume huwa anampanda jama with true love) af wakaachana, na kama aliyesababisha kuachana ni mwanamume, huyo mwanamke atabaki na hilo kovu moyoni whenever such memories come in her mind.

  sina uhakika ila ni mtazamo wangu tuu
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Ngoja nijaribu kutafakari kwanza ila nadhani kuna ka ukweli hapo!
   
 4. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  inaelekea wewe sio mwanamke
   
 5. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  .

  Yes. kuna namna mbili positive or negative, kama mara ya kwanza ulimtumia kinguvu hatakusahau katika maisha yake kwa ukatili wako, kama mlikubaliana akakupenda akawa tayari kujitoa kwako ukampokea vizuri ukampa penzi la kweli kisha ikatokea mkaachana kwa amani, kwasababu zilizo nje ya uwezo wenu kweli atakukumbuka sana( atakumis) kama ilitokea mkaachana kwa shari, hatakusahau kwa ubaya wako;
  hiyo ya pili kweli sijui, mimi ninavyo jua kinachotoa bikira si mwanaume ni uume.
   
 6. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh!mi yamenizid umri haya mambo naogopa kukomaa bure
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Yanaweza yakawa yamekuzidi umri lakini unayajua, embu mwaga vitu hapo tuokote!
   
 8. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Sidhani kama kuna jibu la moja kwa moja, ila msichana au mvulana kumsahau mtu aliyekuwa naye kwenye mauhusiano ni ngumu ila inaweza kuwa kumbukumbu nzuri au mbaya.
  Pili,sidhani kama kuna mwanaume rijali hawezi kumtoa binti bikra sema kuna wanaume hawapendi kufanya hilo tendo kwa karaha mara binti akung'ate,kulia kwa sauti na hata kupigwa hivyo hawapendi kumtoa mtu bikra.

   
 9. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mie hata simkumbuki bana,jinsi navosuuzw moyo wangu,mpaka itokee kama nimeulizwa au kujibu swali kama lako.la sivo hata simuwazii
   
 10. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe mwanamke tupe uzoefu baby
   
 11. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata kidole na mazoezi yana weza yakamtoa mtu bikira yake si lazima ume
   
 12. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hili swali mbona linaulizwa mara nyingi hivi lina maslahi kwa taifa kweli?
   
 13. giningi

  giningi Member

  #13
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kama aliyekutoa bikira ndiye aliyekuoa inakuwaje?unakuwa ukimkumbuka akiwa kazini au?
   
 14. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hivi kumtoa mtu bikira ni swala la physical body use, su ni pamoja na saikoloji pia?
   
 15. Ndetanyau

  Ndetanyau Member

  #15
  Aug 6, 2013
  Joined: Dec 8, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  its gud topic, endeleeni kuporomoka bhana.
   
 16. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2013
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Utasahauje?
  Mimi nawakumbuka wa kwanza mpaka wa 32.
  Au ulikuwa unamaanisha nini?
   
 17. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2013
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  ni kweli hata kwenye rasimu ya katiba mpya ipo hiyo!
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kama unachoogopa ni KUKOMAA BURE kam ziw wei najitolea kukukomaza kwa gharama...
   
 19. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2013
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mh..! na warioba amethibitisha hilo!?
   
 20. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2013
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  hizo bikra zikoje jamani...
  sijui vijana mshaona ndo kamladi?
  kwani ukitoa bikra dudu linabadirka rangi?
  sasa nini faida ya kuhangaika kumtoa demu bikra?
  na ndo maana nao wanawapiga kanda la kichwa kwa bikra za kina JET LI!
  mazima!
   
Loading...