Recent content by baby s

  1. baby s

    JamiiForums Tanzania Deo Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

    Duuh
  2. baby s

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Nature bado wa moto aisee nilale sasa ndo nilikua namsubiria
  3. baby s

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

    Hahahaha watu hawataki siasa wanataka burudani
  4. baby s

    JamiiForums Tanzania Watumishi mnaopanda madaraja poleni Kwa kuonewa na mfumo ESS

    Ila toka mwaka jana kama hujafikisha 75%hupandi na watu hawa kupanda, kwa mwaka huu kama hukufikisha hizo asilimia ni uzembe wako mana kila mtumishi analijua hili
  5. baby s

    JamiiForums Tanzania UTEKAJI: Ujasiri wa Bodaboda Umeokoa Uhai wa DJumbe, Funzo: Ujasiri Wetu Wote kwa Pamoja Utaokoa Wengi. Bodaboda Wapewe Tuzo.

    Vipi kuhusu raia wa kawaida wanaotekwa watajiokoa vipi
  6. baby s

    JamiiForums Tanzania UTEKAJI: Ujasiri wa Bodaboda Umeokoa Uhai wa DJumbe, Funzo: Ujasiri Wetu Wote kwa Pamoja Utaokoa Wengi. Bodaboda Wapewe Tuzo.

    Uko sahihi mkuu, Chadema pia kwenye mikutano yao wawaelimishe watu juu ya kujilinda wenyewe aidha tutumie hata filimbi kuashiria hatari ya kutekwa, polisi akija kukukamata nyumbani piga filimbi watu waje wajue unapelekwa kituo gani. Hali ni mbaya aisee 😭
  7. baby s

    JamiiForums Tanzania Makonda aonya Wanasiasa wanaolenga Urais 2030, aahidi kuwashughulikia wanaomsaliti Rais Samia

    Sasa mbona anampiga dongo mwigulu 🤣
  8. baby s

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

    Akae tu huko aliko mana kila akitokeza anayoyaongea yanaumiza mioyo
  9. baby s

    JamiiForums Tanzania Taharuki dira yageuka dera

    Aisee
  10. baby s

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mshaurini Wanu ajiuzulu angalau kupoza kipengele hicho

    Hivi mama yake wakati anamteua hakuwaza hata kidogo hata aache papoe poe hata kwa miaka miwili au ndo kiburi cha uzima. 🙌Yani kuna vitu ukiviwaza hata haviingii akilini
  11. baby s

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Anatafuta sababu ya kufungia Kanisa Katoliki

    Natamani ajaribu tu hata kidogo kuwafungia 😀😀
Back
Top Bottom