Thanks, nilitaka Economic and finance lakini nahisi hesabu kidogo zitanishinda, than nimekaa nimefkiria mbona lakini najuwa kuna watu hichi mimi nnacho kifkiria wao tayari washa experience huku nje na wanajuwa kipi ni bora zaidi that's why nimeleta hapa nipate muongozo zaidi
Hey Guys, naomba ushauri kati ya hizo kozi 2 hapo ipi ipo marketable na job availability kwenye NGOs,
Private sectors and Government.
Mwenye uelewa au ambae amesoma kozi moja kati ya hizo
Hey Guys, naomba ushauri kwa mwenye experience anaejuwa kuhusu kati ya hizi kozi mbili which one is much better to study?
Job availability NGOs, private sectors and Government.
Asanteni sana.
Na vipi kuhusu hii kozi ya Bachelor in Development Finance and Investment Planning IRDP ipoje na apart from NGOs unaweza kuajiriw sector zipi Government
Habari zenu wakuu.
Nimesoma HGL na katika kutafuta chuo nimeona TIA kuna kozi ya Bachelor in Economics and Finance. TCU nna kigezo cha kusoma lakini Sina msingi mzuri wa Mathematics, hivyo naomba kujua kama naweza kuimudu licha ya kutoka Arts.
Naomba wenye uzoefu au waliosoma kozi hii, hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.