Recent content by Baby Angel

  1. Baby Angel

    GE2010 majibu ya sumve-mwanza?

    vipi kuhusu majibu ya huku sumve-mwanza?
  2. Baby Angel

    GE2010 Tandika kwazizima kwa vurugu!!!

    yani nmetoka kuangalia ITV mpaka nimeogopa.
  3. Baby Angel

    "Small House" inapokuwa Nyumba kubwa

    Shost kila mtu atakula kwa wakati wake,nafasi ulipewa ukaichezea wenzako tunaitafuta usiku na mchana haya tukaipata unategemea nini,ni full maujuzi yani, hutoambulia hata dola 1 kwenye simu yako,mjini hapa jamani,mwenye nacho akitumie akikikosa asikijutie.
  4. Baby Angel

    "Small House" inapokuwa Nyumba kubwa

    Hilo nalo neno shost unadhani,coz wao wakipata hiyo nafasi wanatupelekesha puta sana yani.
  5. Baby Angel

    Hivi kutongoza ni kipaji?

    Mungu wangu weweeeeee Mimi ukija na hiyo gia nakukimbiza km ifuatavyo yani.Jamani kwa style hiyo unampata mtu kweli?Mimi mwanamke njoo nikupe maujuzi ya kutongoza kaka. Pole sana
  6. Baby Angel

    Mchumba

    Huyo ni mchumba kweli au Gfriend jamani?mmhh kaka pole sana km unataka awe mchumba inabidi ufikirie tena coz sidhani km utakuwa umechelewa kabla haijala kwako kaka,pole sana kwa hilo.:confused2:
  7. Baby Angel

    Naomba Mnikaribishe Baby Angel

    Asante kwa ukaribisho wako
  8. Baby Angel

    Naomba Mnikaribishe Baby Angel

    ok nimekuelewa PakaJimmy kwa ukaribu zaidi,nitafanya km nitakachopaswa kufanya
  9. Baby Angel

    Naomba Mnikaribishe Baby Angel

    Thanks kwa hili PakaJimmy and nitafanya kama ilivyo ili kuweza kuifanya JamiiForums iendelee zaidi
  10. Baby Angel

    Naomba Mnikaribishe Baby Angel

    ok unaruhusiwa kunikumbusha. Unaweza kkuendelea tu.
  11. Baby Angel

    Naomba Mnikaribishe Baby Angel

    sio mara yangu ya kwanza kuiona jamii forums coz kuna watu ofisini huwa wanaitumia so nikawaomba wanisaidie na pia kwa kuwa nimesoma IT imeniwia rahisi kujifunza zaidi
Back
Top Bottom