Wacha tu! kuna yule mdogo wake (ki movie) anaitwa "Gregwaa" (Gregory in English). nilikesha siku moja huko Kyela, nikiangalia collection ya Rwanda genocide movies! Hii iliniliza kwa kweli, na kwa mimi nakumbuka fika huo mwezi April 1994 for some personal tragic moment! kweli ni "Sometimes in...