Nahitaji VGA to HDMI cable

Nenda nenda electronic store moja pale round, puma filling station,nyuma ya ex-telecom nadhani linaitwa KVD wale jamaa nawaaminia hawajawahi kuniangusha, km dukani hamna ulizia fundi Goodluck ana workshop kwa nyuma, a real electronic fundi in town
 
jamn hata mm nahtj babusa huna namba ya huyo mtu niwasiliane nay
 
Mkuu ukiwa na VGA to HDMI cable huwezi kuona video hadi uwe na converter,yenyewe wanauza pale KVD Shs 150,000,mm nlichukuaga hzo cable kuweka hamna hata chenga,kurudi KVD ndio wakaniambia ninunue converter,bei ndio nikachoka.
 
haaa kaka umenifumbua macho mana mm nimeona huku kuna htj hzo connection from monitor to tv so mpk converter tena ...hdmi cble hyo ulinunus bei gan mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom