Recent content by Babumzee

  1. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufungua blog

    Ni mtu gn sahihi anaweza kunifungulia hiyo blog.?? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufungua blog

    Sawa na ni mtu gan anaweza kunifungulia hiyo blog Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kufungua blog

    Nahitaji kueleweshwa ni vitu gani hasa natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki blog yangu na mtu yupi ni sahihi wa kunifungulia hiyo blog? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Namna gani unaweza kuongeza fake follower kwenye Instagram (10k, 20k na kuendelea)

    Habari wakuu nahitaji kujua ni njia zipi naweza kuzitumia instagram ili kuongeza followers, ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa barani AfriKa kuendelea leo

    Klabu bingwa hatua ya Robo fainali kuendelea leo kwa michezo miwili Raja Casablanca atakuwa mwenyeji dhidi ya TP Mazembe mchezo utakaochezwa saa 22:00 usiku. Mchezo mwingine ni mabingwa watetezi kwa kombe hili Esperance Tunis wao watakuwa wageni dhidi ya Zamalek hapo mjini Cairo game litakuwa...
  6. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Yanga inahitaji kumfunga zaidi Simba kuliko kuchukua ubingwa

    Haha!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Yanga inahitaji kumfunga zaidi Simba kuliko kuchukua ubingwa

    Unaweza ukajiuliza kweli haya ndio malengo ya klabu ya Yanga kwa msimu huu licha ya kusajili wachezaji wengi wa kimataifa? Mpaka sasa Simba anaongoza ligi kwa point 62 huku Yanga akiwa na point 40 ni gape kubwa lkn kwenye football lolote linaweza kutokea hata wachezaji wa simba sizani kama...
  8. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii Arsenal itakuja kutuua asee Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Simba, tafadhali mtoeni Said Ndemla kwenye kifungo hiki

    Huyu dogo mpaka aende yanga ndio wanasimba watamkumbuka Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ashukuru Mungu Muro yuko mfumgoni Kwaresma

    Jerry Muro hajui kuuzungumzia mpira yeye anajua kupiga vijembe na majungu tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Babumzee

    JamiiForums Tanzania Simba, tafadhali mtoeni Said Ndemla kwenye kifungo hiki

    Kinachoniuma zaidi ni yule Mbrasil Fraga anacheza alafu huyu dogo hachezi hata benchi hakai hii sio fair kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom