U.S. Surgeon General Vivek Murthy was removed from his post by the Trump administration and has been replaced temporarily by his deputy.
Murthy, an appointee of former President Obama, announced on Friday that he resigned.
A Department of Health and Human Services Spokesperson Alleigh Marré...
There, indeed, was an FBI wiretap involving Russians at Trump Tower.
But it was not placed at the behest of Barack Obama, and the target was not the Trump campaign of 2016. For two years ending in 2013, the FBI had a court-approved warrant to eavesdrop on a sophisticated Russian organized crime...
Mama Graca Machel akiongozana na Askofu Michael Msongazila wa jimbo Katoliki Musoma na Mwenyekiti wa Mara Alliance.
UONGOZI wa mkoa wa Mara umeshauriwa kuona umuhimu wa kuweka mpango shirikishi wa muda mrefu utakaosaidia watoto ambao wapo nje ya mfumo wa shule ndani ya mkoa huo, ili kupata...
Waziri Prof. makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari
SERIKALI inazikumbusha taasisi zote zenye leseni za mawasiliano zilizotolewa kabla ya Julai mosi mwaka huu, kujisajili katika soko la hisa na dhamana kama sheria inavyoelekeza, vinginevyo zitaadhibiwa ikiwa ni pamoja na kusitishiwa...
SERIKALI imeagiza kukamilika mapema kwa mfumo wa udahili wa vyuo vikuu ili mapendekezo yatakayokuwa na mfumo wenye tija yaweze kuingizwa wakati wa maandalizi ya bajeti ya mwaka 2017/2018.
Hatua hiyo ni katika kutatua changamoto zinazojitokeza katika uratibu wa mikopo ya wanafunzi na kwamba...
HUKU kukiwepo na dhana ya kuwa kuna Watanzania wanaotorosha fedha na kuzificha katika mataifa mbalimbali ikiwemo Uswisi, hatua moja muhimu imefanyika katika kukabili suala hilo, baada ya serikali ya nchi hizo mbili, kusaini mkataba muhimu.
HabariLeo Jumapili imebaini kufikiwa kwa makubaliano ya...
The owner of the ship, Tawariq- 1, which was tendered in court as exhibit during the trial of two Chinese, Hsu Chin Tai and Zhao Hanquing and others, is Mr Said Ali Mohamed al Araimi, who is Managing Director of Sea Tawariq LLC, a company registered in the Sultanate of Oman operating from...
MRITHI wa Mfalme wa Abu Dhabi na Kaimu Rais, Mohamed bin Zayed Al Nahyan ameahidi kuendelea kuimarisha uhusiano baina ya nchi hiyo na Tanzania katika kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Ahadi hiyo ya Mrithi wa Mfalme wa Abu Dhabi imetolewa jana Ikulu jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi...
THE government will soon announce new speed limits on certain roads that could cover sections by up to 110 kilometres under a new classification system approved by the East African Community (EAC) to facilitate road traffic and promote intra-regional trade
he regional bloc has Okayed a maximum...
Fifa has agreed to study options for expanding the World Cup to 40 or 48 teams for 2026 in greater detail, says council member Michel D'Hooghe.
The proposals will be made at the football world governing body's next meeting on 9 January 2017.
"The feeling amongst the council is rather positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.