Recent content by Babu1894

  1. Babu1894

    Rushwa nje nje, Serikali litupie jicho hili

    Mimi naona wangewatoza zaidi maana wamesaidia sana kuharibu uchaguzi uliopita pumbavu sana halafu mtaani wanapiga mizinga utadhani hawana Ajira.
  2. Babu1894

    GE2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    Sasa tutapata maendeleo maana wapinzani wa maendeleo hawatakuwepo bungeni au siyo?
  3. Babu1894

    GE2020 Nawaonea huruma madiwani na wabunge waliopitishwa kwa tiketi ya CCM

    Kuna watu wanashadadia wakidhani upinzani umekomolewa kumbe wamekomolewa wao maajabu ya Tz hayataisha.
  4. Babu1894

    Nyerere na Wachina waliwezaje kujenga reli ya TAZARA kwa miaka minne tu KM zaidi ya 2000?

    Unaelewa maana ya SGR au unataka kuleta ubishi tu. Tazara ni SGR.
  5. Babu1894

    Kama hamtendi haki,watu watashirikiana na yeyote anayeweza kuwasaidia kupata haki hata kama mtu huyo atakuwa ni Ibilisi

    Ccm imechokwa, kila sehemu lazima wasombe watu kwa magari kupeleka mikutanoni, waache watu waende wenyewe pia wasikodi wasanii.
  6. Babu1894

    GE2020 Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutofanya kampeni kwa siku 7 halafu anajirekodi malalamiko yake kwa kiingereza

    Lazima asemelewe kwa wakubwa anaowaita wafadhiri anapoomba msaada ila akishiba anawaita mabeberu. Hapa TZ kila chombo kinachoweza kusimamia haki ni tawi la ccm bora vyombo vya kimataifa pia visikie na kujua yanayojiri .
  7. Babu1894

    CCM na Mifumo ndiyo tatizo kubwa Nchi hii. Wanatupeleka siko

    Wamechoka na amani wanataka kumwaga damu kinguvu, wanachokitafuta nadhani watakipata, huwezi huwezi kuonea watu kiasi hiki hata ujinga una mwisho.
  8. Babu1894

    GE2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

    Kuna watu wanajiona wajuaji wakati ni vilaza, mtu kasema ana hotuba hatoisoma kwa ajili ya upuuzi unaendelea mwingine anahoji hoja ccm wamechokwa sana.
  9. Babu1894

    TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

    Hawana maana wanafika kuwachora tu kumbe hawarushi shwaini kabisa.
  10. Babu1894

    Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

    Mtaji wa Ccm ni uoga wa wananchi, lkn kizazi cha waoga ndo kinaisha hivo.
  11. Babu1894

    Hizi ndio fursa 150 ambazo unaweza kuingiza kipato

    Kazi ya kuchonga funguo sijaiona mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Babu1894

    Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Nyinyi hamjafika huko ndio maana ccm hawana kesi za kubambikiwa maana ni watakatifu, subiri
  13. Babu1894

    Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Wachawi pekee hawapendi maridhiano, Mbowe amefanya kitu cha maana kwa upande wangu, raisi atajua yeye akubali au akatae. Hata afanye maendeleo kiasi gani akiminya demokrasia na kuonea walio na itikadi tofauti itamsumbua mpaka mauti, na historia itamhukumu.
  14. Babu1894

    IGP Sirro: Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale

    Maajabu ya Tz hayataisha ndio maana mtu akitaka kufanya ugaidi hapa ni rahisi, polisi wanatumika kisiasa.
Back
Top Bottom