Recent content by babu polithi

  1. babu polithi

    JamiiForums Tanzania Dhambi Kubwa ni ipi?

    Hii dhambi iliofanywa. Ilifanywa na adam na hawa au aliifanya shetani? Kwa hapa hukumu alipata adam na hawa au sheittani naomba nifungue kidogo kakaa.
  2. babu polithi

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe tamasha la FIESTA mikoa ya Dodoma na Morogoro, tupo kwenye majonzi ya tetemeko

    Waendelee tuu huko mbali nyinyi endeleeni na majonzi yenuu. Sisi zanzibar ndugu zetu walizama na meli pale Nungwi na watu wakaendelea na miss tz katafuta mshindi. Tumelaani mpk leo kitendo kile na ndo tumeuchukia mtandao flani wa cm uliodhamini mashindano yalee mpk zanzibar umehamaaa huo...
  3. babu polithi

    JamiiForums Tanzania Mke wa mwanajeshi mstaafu Amenizimia

    Mumewe c yule mdunguwajii? Shauri lako
  4. babu polithi

    JamiiForums Tanzania GEITA: Mchina amshushia kipigo kijana wa kitanzania hadi kumsababishia kifo

    Salamu zao mfikishieni mzee magu wataondoka leo haoo.
  5. babu polithi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Kalio bwana, Kama Sura hata Mbuzi anayo

    Ni kweli kaka tunawapenda na hasa siku za baridi ni raha kweli kweli.
Back
Top Bottom