mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,434
- 5,535
Nisiwachoshe wana jamvi nataka naingie direct kuelezea nini kilichomsibu Adam na Hawa kule Eden hii ni kwa majibu wa kitabu cha biblia
Tunajua kuwa nyoka alichofanya ni udanganyifu na Mungu alichukizwa na uongo wa shetani pia na kitendo cha Hawa na Adam kudanganyika
Kufupisha maneno zambi kuu ni uongo coz ndio zambi iliyotoa hukumu ya papo kwa hapo mfano hata Anania alidanganya pale alipouza shamba akabana ela alikufa hata mke wake alipodanganya tu alikufa
Sitaki kujikita kisayansi lakini nao wanakubali kuwa uongo unacost sana ubongo kuliko ukweli
Ushauri jitahidi sana katika maisha yako ukimbie uongo kuanzia ule mzazi anaahidi kumletea mtoto zawadi huku akijua ni uongo
Hata serekali iseme ukweli si maneno tu msema kweli ni mpenzi wa Mungu