Wewe huhitaji msaada wowote wa kutaka kujuwa au kuelimishwa. Kwanza ulitakiwa utaje hilo dhehebu la kikristu unalolizungumzia, pili utaje bimbo na parokia husika na pia ungenukuu maneno mawili matatu au hata zaidi alichosema huyo mc au huyo askofu. Wewe umeleta dharau na kashfa tu kwa dhehebu...
Unaongelea rushwa ya kiwango gani? Rushwa ndogo ndogo ( unaniachaje mkuu/boss) au ya kuathiri uchumi au ya kuihujumu nchi kiusalama? Au hakuna vipengele vinavyofanana?
Ni taarifa tu kwa wadau wa eliminate,wazazi, walezi, wanafunzi wenyewe waliomaliza elimu hapo na hata ikawa ni tangazo la biashara kwa wanaotaka kujiunga na hizo shule.
Uko sahihi sana, kwa kifupi wanasema toa ushirikiano nao na utakuwa mmoja wao fever nyingi watakupatia na hata kukupa msaada wa kuwasiliana na ndugu zako, kupata dhamana kwa wakati bila kuwa na vikwazo au masharti magumu.
Naomba kuuliza kidogo, umesema biblia kwa wakristu na msaafu kwa waislamu, kwa waafrika kitabu chao kilipotea kama unavyodai kiliitwaje? Na hakuna hata masalia yaliyobakia hata kurasa mbili tatu zimepatikana scheme tukafanya kama refer ya hicho ulichokiandika kuhusu dining yetu ya kiafrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.