Wakuu Asanteni kwa kunikaribisha, nitakuwa mchoyo wa shukurani kama nitakaa kimya bila kufanya hivi. Tuko pamoja wakuu. Nawakilisha Loliondo na waganga wengine wa dawa za mitishamba huku JF.
Hodi hodi JF,
Kwanza niwapongeze kwa kazi nzito mnayoifanya ya kulijenga taifa letu bila kujali tofauti za kiitikadi na nyinginezo. Pili, naomba kuungana nanyi bega kwa bega ili hatimae tuweze kutoa michango yetu juu ya namna gani ya kufikia Tanzania ile ambayo kila mmoja wetu amekuwa...
Hii ni special kwa wale woooote waliosoma Mawenzi Sec School. Tukumbushane story za mama Mkiramweni, Y-Paul, Babu Mashingia, Bibi Matemu (a.k.a balbina) na mama Minja bibi wa O-level. For real hawa watu wali-play a central role katika construction ya future yetu, hivyo kuwakumbuka sio mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.