Recent content by Babu la Bara

  1. B

    Ujue mbuyu wenye miaka zaidi ya 500, unaoweza kubadili jinsia

    🤣🤣🤣🤣 sasa walle wasagaji na mashoga mbona wanapata tabu kumbe suluhisho lipo. wasahaurini waende huko jmn. 😎😎
  2. B

    'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

    Hivi, hadi kiungo kipotee mwilini mwa mnyama, inachukua muda gani? na je,kikipotea kwangu, inaweza athiri hadi kizazi changu au kinaambukiza hadi wengine? Je, binadamu wa kipindi hicho alikuwa mmoja au wengi? mikia yao ilipotea katika miili yao kwa wakati mmoja au ilitokea kwa mmoja tu?
  3. B

    Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

    katimuliwa kwa kupewa ubunge 😁😁😁. Ukowa sio mfia chama, maisha raha sana. Fanya kazi mkuu upige pesa sio kutetea wanasiasa, utaonekana mnafiki kama wao tu, shauri zako. TL anapiga pesa huko saa hizi. Polepole amekuwa mbunge. Wewe bado mpiga zumari tuu. Mungu akusaidie, akuondoe tongotongo...
  4. B

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Ni dk. 15, katika movie ya dk 90. Tuendelee kusubiri, yaani hapo hata adui hajaanza kumchokoza steering.
  5. B

    Ukweli ni kwamba hakuna mwanaCHADEMA aliyewahi kupambana na CHADEMA na akashinda, wengi wanaishia kudhalilika tu hata kama watapewa vyeo

    😂😂😁😁😃🤣🤣🤣🤣🤣, duuuuh. Mkuu, utapata wazimu na wanasiasa. Nakuonea huruma. Mkuu, ukweli ni kuwa anayevuruga cdm, ni viongozi wa juu, isipokuwa katibu. Kumbuka Mdee, Jackob,Kishoa, Bulaya, Lema,Msigwa, ni timu Mbowe. Viongozi wanajua kinacho endelea.Hapo, mnyika kazungukwa tu.
  6. B

    Katika wanasiasa kumi wa Tanzania ya leo, wanasiasa wa enzi za kina Nyerere ni wangapi katika hao kumi?

    Mkuu, wakati tulipokuwa tunawapa ushauri hata kutoa maoni yaliyo na maono, mlitukejeri na kutuona wapinzani wenu. Leo naona msimamo wako km una legalega. Hakuna yoyote anayetutetea kaka. Hata TtL unayemuamini na kumshabikia naye ana angalia tumbo lake ndio maana akaona bora akimbie. Kweli...
  7. B

    CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

    Mkuu Bujibuji nilikuwa nakusikitikia sana, na Mshana, kwa jinsi ulivyokuwa unajitoa ufahamu kama mtoto wa juzi kumbe umeona chaguzi zote toka vyama vingi vilipoanza. Mkuu wewe hujui drama za wana siasa kaka? Pole sana, ndio maisha lakini, acha yaendelee. Possible kuna mikakati imepangwa na cdm...
  8. B

    Tanzania inafanya kile kinachofanywa na raia wa Afrika Kusini kwa Waafrika wenzao kutoka Mataifa mengine

    All in all, ongea yote, kinachoffanyika ni kulinda uchumi wa nchi yetu. Lau kana ungekuwa unayajua wanayofanya dhidi ya tz, wala usingewatetea. Ndio maana katika yote, niliyo andika, hakuna hata moja ulilopinga au kulitolea ufafanuzi. Mfano, ishu ya covid, utalii na ndege. Hapo ugusi zaidi ya...
  9. B

    Tanzania inafanya kile kinachofanywa na raia wa Afrika Kusini kwa Waafrika wenzao kutoka Mataifa mengine

    Usitumie nguvu wala akili zako za darasani, jiulize. Kwanini Wakenya na sio Waganda au Wanyarwanda?
  10. B

    Tanzania inafanya kile kinachofanywa na raia wa Afrika Kusini kwa Waafrika wenzao kutoka Mataifa mengine

    Sitatukana au kukejeri kama wewe. Nimekutolea mifano ya namna ambayo Wakenya wanavyozingua katika uchumi wetu. Haitaji degree katika hili. Ni mtu mvivu na mwenye chuki kwa serikali hii ndio anaweza kutoa matamshi kama wewe. Ni ukweli ulio wazi Wakenya ni wazinguaji sana.
  11. B

    Tanzania inafanya kile kinachofanywa na raia wa Afrika Kusini kwa Waafrika wenzao kutoka Mataifa mengine

    Wiki kamasita nyuma niliitwa Mt. Kilimanjaro kufanya kazi fulani hivi, kilikuwa kipindi cha kuzima moto. Actual watalii walikuwa wanapanda kama kawaida na hakukuwa na hatari yoyote kwa watalii. Ila media za kenya zilivumisha dunia mzima kuwa K'njaro inaungua na imefungwa coz sio salama...
  12. B

    Tanzania inafanya kile kinachofanywa na raia wa Afrika Kusini kwa Waafrika wenzao kutoka Mataifa mengine

    Watu wanjitoa ufahamu tu kwa sababu za kisiasa. Kwa vile wamempokea Lema, basi wanajua ni wenzetu. Hapana, hao jamaa ni nyoka.
  13. B

    Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

    Hajiulizi kwanini wachina waliambiwa wawauzie TikTok wamarekani?
  14. B

    Tanzania inafanya kile kinachofanywa na raia wa Afrika Kusini kwa Waafrika wenzao kutoka Mataifa mengine

    Wahindi, Wazungu, Wamisri au Wanepal si washindani wetu kibiashara. Katika mataifa hayo, taifa linaloongoza hasa watu wake kutuharibia biashara ni Wakenya. Rejea Covid, Mlima Kilimanjaro, utalii, Ndege, n.k. Wakenya wengi wanakuja kuua biashara zetu kwa kuyumbisha na kutoa siri muhimu za...
Back
Top Bottom