Recent content by babu kongwe

  1. babu kongwe

    Ushauri: Tulia Akson akatulie jimbo jipya Mbagala, Mbeya anapoteza muda

    Kwa utashi ninavyo wajua wana mbeya Tulia atulie, wanamkubali sana Mh sugu, kwa ushauri huo ni mzuri kwake kama akiuzingatia.
  2. babu kongwe

    Safari ya Tanzania ya viwanda, ianzie kwa kutofautisha uzalendo na udikteta

    Hatujui kutofautisha kt ya msitu na kichaka hili litatugharimu mbele ya safari huko tuendako.
  3. babu kongwe

    Serikali yazidi kuboresha maisha ya Watanzania

    Kwa hiyo hapo maisha ya mtanzania yatakuwa mazuri? Daaa!
  4. babu kongwe

    Kauli ya kitaifa: Wabunge wa CHADEMA wananiomba maendeleo kwa sababu wanajua mimi ndiye Rais!

    Kutojiamini ni ugonjwa mbaya sana, tuendelee kumwombea hadi afike mahala akajiamini.
  5. babu kongwe

    Baadhi ya wanaume ni wachafu sana, wanalala na kahaba anayetembea na wanaume wengi

    Usiishie kulalamika sana, ishia na kutoa ushauri pande zote.
  6. babu kongwe

    Maajabu: CCM wajikomba msiba wa Masogange Mbeya

    Nyuma ya pazia atuwezi kujua kitu kikubwa ni kutambua kupotezwa kwa njia yoyote ile kwa hili hatushangai.
  7. babu kongwe

    Mume adaiwa kumuua mke kwa kuzaa watoto wa kike

    Hapa linakuja suala la uelewa,huyu bwana ni mvivu wa kufikiria anaangalia upande wa kushoto.
  8. babu kongwe

    Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

    Weka uthibitisho tuache propaganda na blaa blaa tu, walikutana walikuwa eneo gani? Na walizungumza nn? Usipotoshe umma bwana.
  9. babu kongwe

    Utetezi wa hoja za CAG ni batili

    Lisemwalo lipo km halipo laja@ wahenga
  10. babu kongwe

    Zitto Kabwe aombe radhi hadharani kwa kupotosha umma

    Aombe radhi kwa lipi? Upande wangu sijaona tatizo hapo, wa kuomba radhi ni CAG
  11. babu kongwe

    Wanaume kama mmesahau haya kuwafanyia wake zenu, msilalamike pindi wanapochepuka

    Aisee! Tafuta hela mengine hayo utajichosha na baadae utaonekana akili sio nzuri.
  12. babu kongwe

    Zitto: Serikali inasema uongo, ni muhimu Bunge lichunguze ziliko shilingi trilioni 1.5

    Hoja ujibiwa kwa hoja sio vitisho, kikubwa nilichokiona hapa serikali au ccm awana hoja ya kumjibu isipo kuwa vitisho tu.
  13. babu kongwe

    Dodoma: Mbunge wa CCM, Deo Sanga ataka Dkt. John Magufuli awe Rais wa maisha

    Huyu ktk jimbo lake hakuna matatizo km maji, hospitalini madawa, shule, yy ameona cha msingi aombe hilo, ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni. Pongezi mbunge wa makambako
Back
Top Bottom