Utetezi wa hoja za CAG ni batili

Utetezi wa hoja za CAG ni batili

Haka kaserikali kanalazimisha kuwaaminisha watu kuwa ni kakizalendo, kumbe kamejaa wapigaji wa kiwango cha juu
 
Sidhani kama naibu waziri amedharau CAG, ule ulikuwa ni ujumbe kwa Zitto Kabwe, mchumi ambaye amesoma nje ya nchi kwenye vyuo vyenye kuheshimika.

Naibu waziri pia amefikisha ujumbe kwa jamii nzima, hakuwa anaongea na CAG pekee bali ameongea na sisi ambao tulikuwa hatujui mambo ya acrual system.
 
Back
Top Bottom