ila ,dah!kwa hiyo lugha ya kunena hafundishwi mtu?huwa inakuja tu automatic?..sio wanapandisha mapepo halfu wanaongea maneno yasiyoeleweka halfu mnasema roho mtakatifu ameshuka...Mimi akili yangu haujaona ukweli wa hili natamani mtu aniaminishe kwa uwazi kuwa sio mapepo bali roho mtakatifu?na...
huwa nawashangaa Sana watu wanaowakosoa Yanga na Hizi issue za kimikataba,HIVI MNAHISI HADI YANGA WANAAMUA KUFANYA HAYO MAAMUZI WALIKURUPUKA!?INA MAANA WAO WANAPENDA KUKOSA DEALS!?HAWAJUI VIPENGELE WALIVYOKUBALIANA!? HAWAJUI KAMA WAKIKOSEA ITAWAGHARIMU PAKUBWA?
ACHENI HAYA MAMBO, KWA NINI...
Mimi ninachofahamu wanaoishi ndani ya mifumo huwa lazima wafuate taratibu za mfumo(system) na wanatengenezwa ki(uniform)
halfu Kuna wanaume wameamua kuishi maisha yao vile wanataka aidha upende ama usipende,kuwa na Afro ama ndevu ni ishara ya uhuru,ishara ya kufanya unachotaka ,ishara ya...
Hii story ya illuminati Kuna jamaa yangu aliwahi kunisimulia na kitabu aliniambia kinaitwa demons and angel ambacho kilielezea story nzima ya kuanzishwa kwa illuminati mpka kujiingiza ndani ya freemason..ni humo humo alimopita Athena.
Uko well detailed
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.