Recent content by babtut

  1. B

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu la ziara ya Rais Magufuli Zanzibar ilikuwa ni nini?

    La sivyo nae asingetoa mkono wake kwenye makaratasi ya Lowasa?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu la ziara ya Rais Magufuli Zanzibar ilikuwa ni nini?

    Alipeleka mpango wa Zanzibar ya Viwanda
  3. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache unafiki, Rais kavunja katiba ila hakuna sheria ya kumshitaki mahakamani

    Hahahaha, Wana mambo sana hawa watu. Muwekee choo hapo hatumii tena anakushangaa inakuwaje unajisaidia ndani ya nyumba wakati huko ndani ni kwa kulala. Hukawii kumkuta kalala chooni
  4. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache unafiki, Rais kavunja katiba ila hakuna sheria ya kumshitaki mahakamani

    Ziwani na akimaliza anaoga huko huko na kunywa maji ya ziwani at last anaondoka na kitoweo cha samaki alichovua huko huko alipojisaidia
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kujua meli zinazoingia Bandarini Dar na Bandari shindani, angalia website hii

    Kwahiyo huko zilikohamia zimekwenda kuingia kiujanjaujanja na kutolipa kodi? Are we serious? Hebu tuache UJINGA.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: uchochezi ni upi hasa.

    TAWA acha uchochezi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, katiba mpya, na Umoja wa Mataifa

    Vitu vya kulazimisha ni shidaa wacha tu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya trilion 1.158 kwa mwezi Agosti na kuvuka lengo, Kariakoo kuwa mkoa maalum wa kodi

    Summurize tu kimtindo m6 uikatae
  9. B

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya trilion 1.158 kwa mwezi Agosti na kuvuka lengo, Kariakoo kuwa mkoa maalum wa kodi

    Kwahiyo wanatafuta hela za kujilipa mishahara na kula ducks. Mbona hazipo kwenye mzunguko sasa au wanazificha tena
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

    Ma matisho ni makubwa. Sasa unatisha watu ili wakimbie, wakuogope au ?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

    Jaribu kumshauri mgonjwa uone
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

    Sasa hivi ndiyo ubepari umepewa mpini na haelewi hilo. Aliyenacho atabaki nacho na asiyenacho atazidi kuwa hoi zaidi. Jaribu kufungua kijibiashara leo kama utaweza
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

    Mgonjwa kashasema wewe unaficha hela ndani sasa ni kubadilisha hela tu ili hizo za kwako ziozee humo ndani. Lkn TRA tunavuka malengo haswa. Ni akili za mgonjwa tu
  14. B

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya trilion 1.158 kwa mwezi Agosti na kuvuka lengo, Kariakoo kuwa mkoa maalum wa kodi

    Kwahiyo mkuu currency in circulation imepungua kwa watu kuficha hela ndani lkn government revenue inaongezeka?
Back
Top Bottom