Recent content by BABODA

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe dhuluma hii inayofanywa na TANESCO na mitandao ya simu

    Hii ndyo alicho sema mchungaji msigwa kuhusu watanzania watakao ichagua ccm
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mawakala wa Uchaguzi waelekezwa kuwazuia wanafunzi na wasio wakazi kuchagua mbunge na diwani

    tatizo, wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe, kwa nini hawakupinga wa2 ambao si wakazi wa dodoma wasijiandikishe huko.? Boa la mkono limegunduliwa na mmzidiwa ujanja, mfia majiji.............
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mgawanyo huu wa wapiga kura, Lowassa kumshinda Magufuli ni ngumu

    Jamaa mwenywe hana mke sasa sijui ni mwanamke gani atampa kura
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania hatutamchagua Lowassa?

    basi wewe kajiandaae kiafya usije ukaenda kaburini
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Kambi ya wananchi mita 100 ilivyozuia wizi wa kura Ubungo

    Inanikumbusha 2010 tulpolinda ya Akonaay Xoro jimbo la mbulu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu makubwa ndani ya CCM, Magufuli na Watanzania

    Mkuu umeacha hii ya sadam kuwa rais wa kuwait
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mzee Matson Chizii ameanza kuwapotosha CHADEMA, mbinu za kuiba kura zimegoma

    Tunafanya hvo , tukijua kuna watu ni majambaz wa kuiba kura. mzee is right
  8. B

    JamiiForums Tanzania Watch out out Kingunge! Huyu mzee si wa kubeza

    hata kikwete alikuwa team membe,
  9. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa, maji ya shingo

    Nani amemkimbia chama, na alipokimbia alileta madhara gani. Lowasa na duni wameshndwa kuelewana ktk lip? acha uongo. Utawajua tu kazi yao ni kututukana, kusema uongo, kupiga push up na kuruka vichura badala ya kuuza sera
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lowassa jana: Alisimama au kukaa?

    Alikuwa anaruka kichura
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amsababishia Magufuli kupoteza mwelekeo zaidi

    Mkuu huyu mzee mi naona kuna mambo yanamsumbua 1.uzee 2.kapewa mkwanja 3.josphine
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amsababishia Magufuli kupoteza mwelekeo zaidi

    Saf sana mleta mada umefikiria nakuona yalyo nyuwa ya pazia, kumbe ni kwel 1. ridhiwani alikamatwa china na babake alisafir ucku mpaka china kumtoa 2.kumbe 2010 ccm waliingiza kontena la kura ya wiz kule mtwara n.k haya yanaukwel kama maguful amethibitisha kuwa slaa ni msema kweli
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli aingia Hanang kwa aina yake

    Niko hanang jamaa anatumia kila njia akubalike lakini watu wameshaelimishwa na mzee wa mvi aka lowasa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nini hatima yetu wanafunzi wa vyuo vikuu kupiga kura

    Tuliambiwa tujiandikishe vyuoni na kura tutapiga popote, tcu ikatoa tamko kuwa vyuo vyote vitafunguliwa baada ya uchaguzi mkuu, lakini tunasikitika nec kutangaza kuwa kila m2 atapiga kura pale alipojiandikisha. kumbuka tumeandikishwa vyuoni na vyuo vitafunguliwa baada ya uchaguzi, naombeni...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu: Wanasiasa chungeni ndimi zenu, Mungu hadhihakiwi

    Mwogopeni mungu jamani, mwacheni mungu aitwe mungu, tusiingilie kazi ya mungu
Back
Top Bottom