Recent content by Bableyy

  1. Bableyy

    Natafuta kazi, nimesomea Procurement and Logistics Management

    Usikate tamaa wng omba mungu utafanikiwa cku yako ikifika .....mm nilisoma course hiyo hiyo ila ngazi ya bachelor bt now nimeajiriwa niko wizara ya mambo ya Ndani ......muhim ufanye volunteers kwenye taasisi za serekali au company binafsi unaweza kufanikiwa..... Sent from my TECNO-J8 using...
  2. Bableyy

    Natafuta Kazi ya Ukondakta wa Mabasi ya mikoani,Elimu Degree LeveL

    All the best brother, iyo ni kama course niliyopiga mm bt now nimeamua kuja kujila majeshini......bt good mungu atakusaidiya.....inshallah
  3. Bableyy

    Naomba ushauri niache kazi au niendelee nayo

    Daaaaah kwa apo ushauri wangu ucache kazi kama huna means ya kupata nyengn, coz kazi za private usumbufu wake ni huo hata uende wapi wao wanataka good profit cyo kuangalia maslahi ya mtumishi, cha muhim vumiliya hapo hapo hadi ukipata government, ndiyo utaondoka coz hata mm niliwahi kufanya...
  4. Bableyy

    Fursa 26 za Ajira TAKUKURU 2017

    Ndiyo huwa wanaenda short course kwaajili ya kuwekwa sasa kuwa tayar na maswala ya upelelezi
  5. Bableyy

    Mwenye Taarifa ya ajira za walimu wa Arts

    Duuuuhh huu wakati nishidaah thnx mungu kwa tuliyobahatika kabla ya mambo haya
  6. Bableyy

    Natafuta kazi za procurement and supply management

    Duuuuhh acheeni matusi ni sehemu ya maisha tuuu
  7. Bableyy

    Vipi mshahara wa November?

    Umetoka ila hamna nyongeza yeyote ile..... Nishidaah
  8. Bableyy

    Mpenzi wangu kila tukisex anawahi kufika kileleni

    Achana nae uyo njoo kwangu mtt wa kizenji
  9. Bableyy

    Ushauri: Kuna mwanamke ananipenda lakini mimi naishiwa hamu kwa kuwa ananuka mdomo

    Daaaahh mshkaji jaribu kujielewa kwanza kwamba no one perfect except God, muhim ni kukaa chini na kusolve problem ya mpenzi wako bila ya kuja huku............... . .....
  10. Bableyy

    Ajira mpya 71,496 kumwagwa na Serikali hivi karibuni

    Wakati umefika kwa wanaosubiri posts za goverment, ilaa ajira ya goverment rahaa kwel........karibuni bhana tuwe wengi
  11. Bableyy

    Hivi Ajira zinatoka lini!???

    Atapata kama riski yake muamini mungu.......
  12. Bableyy

    Hivi Ajira zinatoka lini!???

    Ni uvumilivu tuuu, nafasi zitatoka coz short list ya majina bado ila nimesikia kuajiriwa kwenye novemba mtaajiriwa.......Daah vumiliya tuu wng hata mm nilivumilia sana hadi mwaka jana ndiyo niliajiriwa
  13. Bableyy

    Mwalimu wa Kiswahili anahitajika Greenbird

    Niko tayari kwa iyo post nna degree my no 0777 790279
  14. Bableyy

    Natafuta ajira wadau

    Njoo zanzibar unaweza kupata kazi kuliko huko, hata hotel unaweza kupata Au chukuwa Diploma
  15. Bableyy

    Natafuta shule ya kufundisha masomo ya sayansi Zanzibar

    Wew ulitaka niandike vp......achaa ushamba uwo kuzarau watu, unanijuwa mm au ---- ww
Back
Top Bottom