mwampepe
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 330
- 129
Mimi ni mwalim,masharti ya Shule hii natakiwa kulala hapa Shule yaani ni kazi tu kuanzia saa 11 asubuhi hadi saa 4 usiku,Kinacho nifanya niache hii kazi Mimi ni mke wa mtu.
Mume wangu hataki nifanye hii kazi sababu ipo mbali na nyumbani tunapoishi, na ndipo anapofanyia mumewangu kazi,kazi hii hainipi muda wa kutafuta kazi nyingine sababu muda wote natakiwa kuwepo shuleni.
Naomba ushauri wenu tafadhari wasiwasi wangu kutopata kazi nyingine